Mwakaboko King
JF-Expert Member
- Apr 22, 2015
- 1,099
- 207
- Thread starter
- #61
Mwizi hawezi kukiri kwamba yeye ni mwizi.hizo porojo zake,akawadanganye lumumba kwani ndio hawajitambui.Wanadanfanyika kirahisi.
No research no right to speak!
Mwizi hawezi kukiri kwamba yeye ni mwizi.hizo porojo zake,akawadanganye lumumba kwani ndio hawajitambui.Wanadanfanyika kirahisi.
E.A. Tume huru inapatikana Kenya tu . Tanzani tume yetu ya Tanzania ni ya chama tawala.
Kwa tume hii ya Tanzania hata ashuke malaika kutoka mbinguni akiniambia inafanya kazi kwa uhuru nitamkatalia. Hakuna uhuru bali ni kusikiliza kauli ya aliyekuteua tu.Mkuu unajichanganya mwenyewe! Wakenya wanatifuana wenyewe kwa jambo walilolililia muda mrefu, Kila siku lawama haziishi kwa hiyo TUME HURU waliyoipa jina na hawaiamini au wewe ni mgeni wa siasa za Kenya! NEC ya Tanzania inafanya vizuri kwa kuendesha chaguzi makini na za uwazi najua hili hutalielewa maana Haki inakuwa pale mgombea wako anaposhinda na anaposhindwa sio Haki
Maajabu haya tume ni huru ...hahaaaaaaa
Huo upuuzi akamuambie mkewe na watoto nyumbani kwake.
Na ukayaamini? Harafu wewe..!!
E.A. Tume huru inapatikana Kenya tu . Tanzani tume yetu ya Tanzania ni ya chama tawala.
Wewe naye acha kuingilia mambo ya watu!! HahahaKama hata wewe ungekua huyaamini basi Tanzania kusingekua na Mbunge hata mmoja wa Upinzani!
Huo upuuzi akamuambie mkewe na watoto nyumbani kwake.
Kwamba
mmmmh jamani mbona huwa yanabandikwa? mi nakumbuka 2015 matokeo waliyabandika vituoni
Ckwel
"Tunatangaza matokeo kama tunavyoletewa" ...akiweza kubadilisha hii statement ikawa kuwa "tunatangaza matokeo kama kura zilivyopigwa" basi nitamsikiliza!
Hoja ni kwamba huyo mkurugenzi ni mteule wa rais, na rais ni mwenyekiti wa chama cha siasa ambacho kinashiriki katika chaguzi zinazo simamiwa na tume hiyo.Kinachotakiwa ni INDEPENDENT ELECTORAL COMMISSION na sio Tume ya serikali ya kusimamia uchaguzi.Kama una akili kichwani mwako, utaelewa nilicho maanisha.Adabu na staha kwa watu wanaokuzidi inahitajika, hoja yako ni ipi hapa!
Uhuru wa tume hauthibitishwi kwa kuhubiriwa,ulipaswa ujidhihirishe wenyewe.Kuwaambia watu kuwa tume yako ni huru wakati tume yote kuanzia ngazi ya juu hadi chini imesheheni makada wa chama na usalama wa Taifa ni kutugeuza watanzania wote ni wajinga.
Figisufigisu za kiuchaguzi huwa tunazishuhudia kwa macho yetu,hila na udanganyifu unaofanyika na maelekezo wanayopewa wasimamizi ili wayatekeleze ndani ya chumba cha kupigia kura tunayafahamu,nawafahamu hadi wasimamizi waliopata misukosuko baada ya kuonekana wamekataa kufuata maelekezo ya kukibeba chama tawala,wengine wamefikia hadi kuitwa na wakuu wa vituo vyao vya kazi na kuombwa watoe maelezo kwa nini wanaunga mkono upinzani,hivyo kukurupuka na kusema tume ni huru ni upuuzi mtupu.
Wakati nipo serikalini niliwahi kunyimwa nafasi ya kusimamia uchaguzi mkuu wa 2005,niliachwa nje katika michakato yote,sababu kuu niliyoelezwa ni kuhisiwa kuwa ninauunga mkono upinzani,lakini baadae nilijumuishwa katika masuala fulani ya kiusimamizi na huko ndipo nilipobaini michezo yote michafu ya kuvuruga matokeo,tangia hapo kiongozi yeyote wa uchaguzi asimamapo na mkuhubiri Uhuru wa tume huwa namchukulia kama mchekeshaji tu,mchakato wa uchaguzi haujawahi kuwa huru hata siku moja.
Alaaniwe yule aliyekuwa anatangaza matokeo kadiri alivyokuwa anayapokea bila kujiridhisha matokeo hayo yalikuwa yanapitia wapi kabla ya kumfikia.