Ramadan in 2013 will start on Tuesday, the 9th of July

Ramadan in 2013 will start on Tuesday, the 9th of July

Asante kwa taarifa. Unaweza kudhani umefanya jambo dogo na la kawaida, ila mbele ya ALLAH ni kubwa na jema ambalo malipo yake pia ni makubwa na mazuri. Hivyo, naomba usiache kutujuza wakati wowote uwapo na taarifa muhimu kama hizi.

mkuu unaacha chozi linanitoka. Please! Amina! YARRABI amin
 
Bismillah Rahmani Raheem! wakuu nilileta huu uzi kwa wanaohusika tu, Wapo wengine wakristo wanapenda kufunga na wapo sio dhana, kwa wapenzi wa mwezi huu hii ni nafasi yao kukubuka vitu vya kuacha kuvifanya. Yale mazoea ni wakati wa kuyaweka pembeni, huu mwezi hata kama utamtukana kijana wa imani hii ya kiislam hatakujibu wala kukufanya lolote, ni mwezi mkubwa sana kwa waumin,

Nimeshangaa sana wakuu kuacha mada za siasa na zile kule MM wakaja kuweka post zao chafu hapa, mimi ni mtu muungwana sana, nawapenda sana, napenda utani sana, napenda kutoa mada za kutatanisha lengo langu ni IQ zetu na namna ya kuzipambanua, sasa inakuwaje msomi/G.T(great thinker unaingia kwenye) uzi wa kidiniiyo tolerance iko wapi.

lakini napenda kusema jambo moja kwamba mwezi huu ujao pia huu wa shaban ukimchokoza muislam hatakufanya lolote, na inawezekkana ustaarabu huu wa kuwa mpole,mtulivu na mwenye kufikiri juu ya m'mungu ahatakujibu wala kukwaruzana na yyte katika ninyi.

Ijumaa iliyopita nilipita ktk ibada ya Ijumaa tuliusiwa kukumbuka sana

upole
utulivu
mkweli
nk

hii yote inamaana ya AMANI
 
Teh, kumbe waislamu mnamkumbuka Mungu kwa mihula?????!!! Basi poleni, sisi tuna mkumbuka Mungu kila sekunde, kila dakika, kila saa, kila siku, kiufupi "all the time"

unafiki tu unakusumbua ! labbda unamkumbuka kwa kuning'iniza picha,yake sebuleni baada ya kuinunua duka la stationary !
Sie kwa siku tunamsujudia mara tano !
 
Mkuu wateja wanahamia mfungo.
Utafiti si wa leo tuu.
Ni fact.

Wanarejea kwa Mola wao ! vipi we hutaki ?
Wazushi na madhalimu ni marafiki wa mashetani ndio maana wana huzuni wawaonapo waja wa Mwenyezi Mungu wakirejea kwake t
 
Wanarejea kwa Mola wao ! vipi we hutaki ?
Wazushi na madhalimu ni marafiki wa mashetani ndio maana wana huzuni wawaonapo waja wa Mwenyezi Mungu wakirejea kwake t

Kwa Muhula huku mkila usiku kucha
beggars.jpg

ramadan-big_620x350.jpg

246831_4000592664886_1540404217_n.jpg
 
Bado mafundisho ya mtume hayajaeleweka. Aliposema fungeni kwa kuuona mwez haimaanishi kila mtu auone ama uonekane ktk nchi husika ndo ufunge. It means hata ukionekana China all Africans muslims must be on fasting as what China did. Recall pale mtume aliposema swalini kama mnavyoniona nikiswali,je hapo alimaanisha waislamu wa Tz wasimfate kwasababu hawakumuona wakati akiswali kwani kauli hiyo aliitoka Mecca so inawahusu watu wa Mecca tu

Utakuwa ulisilimu akhui... maana waislamu wazawa hatupendi kusoma ndo maana tunaleta mkanganyiko ktk dini. Unacho sema ni kweli Allah akulipe.
 
Muda si mrefu utasikia matangazo kupitia redio yenu ya watu Clouds FM kwamba tarehe 8 Julai kutakuwa na "vunja jungu" ya kufa mtu kwenye kumbi zetu za uswazi kama Ikweta TMK. Huwa napata shida kidogo kuwaunganisha wafungaji na hii sherehe.
 
Asante kwa taarifa. Unaweza kudhani umefanya jambo dogo na la kawaida, ila mbele ya ALLAH ni kubwa na jema ambalo malipo yake pia ni makubwa na mazuri. Hivyo, naomba usiache kutujuza wakati wowote uwapo na taarifa muhimu kama hizi.
yas.... faman ya ahmal mithkala dharatil gharaiyala
 
Nauchukia huo mwezi acha tu!
Biashara ya bia na kitimoto inakatisha tamaa.

Si vizuri kuichukia ibada ya wenzio. Kama tatizo ni biashara ni vema ukafanya nyingine katika kipindi hicho mfano kuuza futari, nguo na vingine vyote ambavyo soko lake huongezeka katika kipindi hicho. Ila kwa ujumla wake huu mwezi hujidhihirisha kuwa ni wa heri, amani, nk kwani matendo mengi ya hovyo hupungua katika jamii mzima. Inshallah, ALLAH atakuongoza katika kujua faida za mwezi mtukufu wa RAMADHAN. Pia, tuzidi kumuomba MUNGU atuwezeshe kuufikia mwezi huu wenye heri nyingi.
 
Bado mafundisho ya mtume hayajaeleweka. Aliposema fungeni kwa kuuona mwez haimaanishi kila mtu auone ama uonekane ktk nchi husika ndo ufunge. It means hata ukionekana China all Africans muslims must be on fasting as what China did. Recall pale mtume aliposema swalini kama mnavyoniona nikiswali,je hapo alimaanisha waislamu wa Tz wasimfate kwasababu hawakumuona wakati akiswali kwani kauli hiyo aliitoka Mecca so inawahusu watu wa Mecca tu

kila eneo lina muandamo wake, mwezi ukionekana china je marekani waanze na funga mchana wao? Kuna hadith nyingi za masahaba ambazo zinaonesha kuwa kila sehemu ina muandamo wake, kuna moja sahaba ibn abbas alikwenda sham na kurudi mtume alimuuliza habari ya kuona mwezi na akamwambia ameoona watu walikuwa katika funga wakat makka hawakuuona na hawakufunga. Mtume alieleweka vyema bali sisi ndio tusiotaka kuelewa. Tumeambiwa tufungue kwa kuzama jua, mbona china jua likizama sisi hatufungui? Jua ni moja na mwezi ni mmoja
 
mwezi wa mfungo afu watu tunanawiri na kuota vitambi,mchana kutwa inatumika kupika misosi hata wakati wa futari mkono unachoka kucheza drafti...tehetehe..
 
Uzinzi, wizi, kula riba, dhulma, ulevi, uongo, fitina, kiburi, ulafi, majivuna !
hizi baadhi ya sifa za makafiri !
tehe ndoa nyingi sana kipindi cha rmdhn,afu baada ya hapo talaka kwa kwenda mbele. naona umetaja sifa za makafir wakiongozwa na boko haramu,mnambaka bint wa watu na kumzika akiwa hai ati ni suna...mnafila mnadai ni suna???? mombasa na zenji nadhani hata shetani kawachoka
 
HAYA MAMBO HAYANIHUSU ILA YANAHUSU MAHUSIANO YA MWANADAMU NA MUNGU.MWANADAMU PIA NA MWENZAKE ILA TUKIMUANGALIA ZAIDI MUUMBA. NA MUUMBA NI MMOJA

NAWATAKIA MAFUNGO MEMA NDUGU ZANGU.
All the best friends
 
Na huo muhula unatia watu hasara,
pale kona baa, meda nk...zinawadodea

kaka, nadhani hii mada ni kwaajili ya waislam, hebu kuwa mstarabu kuwaacha waislam waongelee yao. Naamin hata dini yako inakufundisha ustaarab
 
Wanarejea kwa Mola wao ! vipi we hutaki ?
Wazushi na madhalimu ni marafiki wa mashetani ndio maana wana huzuni wawaonapo waja wa Mwenyezi Mungu wakirejea kwake t
Mwezi mmoja kwa mola wao,
miezi kumi na moja wanampaki pembeni, wanakula bata
 
Si vizuri kuichukia ibada ya wenzio. Kama tatizo ni biashara ni vema ukafanya nyingine katika kipindi hicho mfano kuuza futari, nguo na vingine vyote ambavyo soko lake huongezeka katika kipindi hicho.
Ila si ishu,
mwezi mmoja tu, namimi ntachukua likizo ya biashara.
Wakifungua nina miezi kumi na moja ya biashara kunoga
 
Back
Top Bottom