Ramadan in 2013 will start on Tuesday, the 9th of July

Ramadan in 2013 will start on Tuesday, the 9th of July

shukran kwa taarifa muhimu ila nawausia waislam wenzangu tusiache sunna muhimu ya kuangalia mwezi, na hii isiwe kwa ramadhan bali kwa mwaka mzima
 
Utakuwa ulisilimu akhui... maana waislamu wazawa hatupendi kusoma ndo maana tunaleta mkanganyiko ktk dini. Unacho sema ni kweli Allah akulipe.
Maneno yako sikuyapenda ndugu yangu mayala. Tukumbushane lkn tusikashifiane. Jaribu kufuatilia wanazuoni wa kiislam kati ya ulio waita wazawa na hao wengine, wengi ni wapi? (kwa msimamo wowote ule) mungu atuongoze in,sha,allah
 
unafiki tu unakusumbua ! labbda unamkumbuka kwa kuning'iniza picha,yake sebuleni baada ya kuinunua duka la stationary !
Sie kwa siku tunamsujudia mara tano !

Dah mkuu we acha tu.. taratibu tutafika
 
Hawa ndugu zetu wengine wana chuki sana na Uislam.
 
Nauchukia huo mwezi acha tu!
Biashara ya bia na kitimoto inakatisha tamaa.

asante,
lini inaisha?


siku thalathini tu! ila note this.. kwa mazingira ya miji ya pwani na visiwani, wakristo na dini nyingine wameiga baadhi ya tabia za watu / waislam wa pwani.....

ukiona baa zipo empty basi ujue bwana john ameamua tu kuheshimu ibada ya rafiki yake kipenzi juma, sio kwamba wanaofanya dhambi wote ni waislam... kama umeishi DAR, TANGA, MTWARA , PWANI, BAGAMOYO, ZNZ utaona hili... mara nyingine pia tunafturu na wenzentu wa dini nyingine hata kama hawajafunga .....

kuna dada ni mwansheria ni mkristu , nilimsikia akimuuliza dada ambaye ni muislam kwamba atapata wapi madira , knga au baibui awe ana vaa kwasababu mwezi wa ramadhan umefika.. huyu dada ni mkatoliki kufunga hafungi ila ameamua kuheshimu tu sababu ofisin kwake ana marafiki kina hamis, mariam , tatu etcl.....



sijui kuhusu bara sababu sijawahi kuishi bara mi nimtu wa pwani na mikoa niliyowahi kutembelea ni pwani tu ..
 
Bismillah Rahmani Raheem! wakuu nilileta huu uzi kwa wanaohusika tu, Wapo wengine wakristo wanapenda kufunga na wapo sio dhana, kwa wapenzi wa mwezi huu hii ni nafasi yao kukubuka vitu vya kuacha kuvifanya. Yale mazoea ni wakati wa kuyaweka pembeni, huu mwezi hata kama utamtukana kijana wa imani hii ya kiislam hatakujibu wala kukufanya lolote, ni mwezi mkubwa sana kwa waumin,

Nimeshangaa sana wakuu kuacha mada za siasa na zile kule MM wakaja kuweka post zao chafu hapa, mimi ni mtu muungwana sana, nawapenda sana, napenda utani sana, napenda kutoa mada za kutatanisha lengo langu ni IQ zetu na namna ya kuzipambanua, sasa inakuwaje msomi/G.T(great thinker unaingia kwenye) uzi wa kidiniiyo tolerance iko wapi.

lakini napenda kusema jambo moja kwamba mwezi huu ujao pia huu wa shaban ukimchokoza muislam hatakufanya lolote, na inawezekkana ustaarabu huu wa kuwa mpole,mtulivu na mwenye kufikiri juu ya m'mungu ahatakujibu wala kukwaruzana na yyte katika ninyi.

Ijumaa iliyopita nilipita ktk ibada ya Ijumaa tuliusiwa kukumbuka sana

upole
utulivu
mkweli

nk

hii yote inamaana ya AMANI

Kweli mkuu. ISLAM IS THE RELIGION OF PEACE!
 
Back
Top Bottom