- Source #1
- View Source #1
kumekuwepo na chapisho linalosambaa kwenye mitandao ya kijamii ya facebook likiwa na nukuu ya kuwa rasis wa fifa gian infantinho ameta masa 72 kwa uongozi wa caf kujiuzulu
Katika chapisho hilo ambalo limesambazwa kwenye mtandao huwa facebook lia nukuu ya ujumbe kama ufuatavyo” BREAKING NEWS
Rais WA Mpira Duniani GIANNI INFONTINO amezungumzia Kuhusu Hilo sakata la KOMBE kupokonywa kutoka kwa Senegal
..Hii Itakua ni ajabu ya Mpira WA Africa na Itakua ni aibu kwa wadau WA soccer Africa
Mshindi huwa Anapatikana uwanjani na si vinginevyo
CAF ijitasimini kwa Haya maamuzi Ikitokea hvyo Nitaomba waliohuska Wajiuzuru Ili wapishe watu wanapenda haki Sawa
NA AMEENDA MBALI SANA KWAKUSEMA
.. Maamuzi Hayo yafutwe kwakua mshindi NI Senegal na Ameshapata Alichjishindia na Ikiwa Hivi Hatutoruhusu KOMBE LA DUNIA Kuandaliwa Sehemu yyte AFRICA
katika ufutailiaji wa habari kwa kutumia utafutaji wa mamneo mhumu hakuna uthibitisho nrasmi nkutoka chombo cha habari rasmi kamamfita au mitandao ya raisi kuthibitisha uvumi huo
vile vile kwa kufuatilia katika mitandao ya kijamii ya kurasa rasmi za giano infatingo hakuna sehemu yoypte kwenye machapisho yake ametoa nukuu ya kutoa masaa 72 kwa viongozxi wa caf
tangazo hilo linakuja huku kukiwa na utata unaondelea ndani ya shirikisho la soka barani afrika baada ya taifa la senegal kupokwa ushindi na kupewa morroco katika fainali ambazo zilifanyika kule nchini morroco
aidha katika hatua nyingine ufuatiliaji wa sheria kutoka fifa unabainisha kuwa rasi wa fifa hana mamlaka kisheria ya kutoa masaaa 72 kwa viongozi wa caf kwa ni hiyo ni taasisi ambayo inajitegemea na ina uongozi wake ambao unafanya kwa ufasaha
licha ya hivyo raisi wa fifa gian infantino alitoa nukuu ambayo nimechapishwa kwenye tovuti ya reuters ikiwa na nukuu inayosema kitendo ambacho kimefanywa na senegal hakikubaliki na kinyume na masuala ya mpira na amelaani tabia ya wachezaji wa senegal kususia mchezo.

- Tunachokijua
- Machi 18, 2025 shirikisho la mpira wa miguu Afrika (CAF), waliwapoka ubingwa wa AFCON Senegal na kuwataza rasmi Morocco kama mabingwa.
Madai
Kupitia mitandao ya kijamii kumekuwa na taarifa inayoeleza kuwa Rais wa shirikisho la mpira wa miguu duniani Gian Infantino amewapa saa 72, viongozi wa shirikisho la mpira wa miguu Africa (CAF) wajiuzulu. Tazama hapa
Uhalisia wa madai hayo ni upi?
JamiiCheck imefuatilia na kujiridhisha kuwa si ya kweli. Hakuna chanzo chochote cha kuaminika kilichochapisha ama kutoa taarifa hiyo.
Tovuti rasmi ya FIFA pamoja na kurasa zake za mitandao ya kijamii hizijachapisha taarifa hiyo kumnukuu kiongozi huyo wa soka duniani kutamka maneno hayo ya kuwataka viongozi wa CAF wajiuzulu.
Hata hivyo hakuna taarifa hiyo ama nukuu hiyo kwenye ukurasa rasmi wa mtandao wa kijamii ya Infantino. Hata hivyo Rais wa FIFA hana mamlaka ya kuwataka viongozi wa CAF wajiuzulu ndani ya saa 72.