Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,786
- Thread starter
- #21
Unapoanzisha mada zenye utata, unafaa kutolea na mifano kabisa, naomba kujua kabila alilobuni rais Moi, maana wakati anaondoka kwenye madaraka aliacha idadi ya makabila kama alivyoikuta.
Mimi hapa Mkikuyu, kabila langu lilikuwepo hata kabla ya nchi ya Kenya kubuniwa.
Nilisoma alikuwa anachomoa kundi fulani kutoka kwenye Kabila fulani na kuliingiza kwenye Kabila lingine ili kuogeza/kupunguza idadi ya wapiga kura kulingana na waliokuwa upande wake!