Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,786
Nimesoma mahali kwamba Raisi mstaafu wa Kenya A.Moi wakati wa utawala wake alikuwa anatengeneza Makabila, yaani alikuwa anaamua kundi hili litakuwa sehemu ya Kabila hili na kuliondoa kundi xyz kuliweka Kabila lingine, kwa kifupi haya yanayoitwa makabila ni artificial na yamewekwa na watawala, kabla ya ukoloni sehemu kubwa ya wanaojiita Wakikuyu (nimetolea Kikuyu kama mfano tu inaweza kuwa kundi lolote) hawakuwa Wakikuyu, Wakamba &Co.
Hivyo hata chuki mliyonayo dhidi yenu wenyewe ni ya kutengenezwa kwani mnachukia kitu ambacho kilitengenezwa na Binadamu ni kama Rwanda tu hakuna Kabila la Watusi/Wahutu, walitengenezwa tu na Watawala na kuanza kuchukiana mwishowe kuuwana, na sasa Kagame ni Raisi wa maisha, ...