Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,786
- Thread starter
- #41
Wakoloni walikuwa wanashindwa sana kutamka baadhi ya majina ya kiasili,mfano,kilimakyaro-kilimanjaro hii ilipelekea baadhi ya majina yabaki vilevile tofauti na hapo awali.
Jaribu kutafuta asili na chimbuko la lugha ya kiswahili ukiweza itakupa mwanga zaidi kuhusu makabila.
Pia jaribu kusoma kitabu cha walter rodney "how europe underdeveloped Africa"
Unajua ni kwanini kenya na Tanzania kuna kabila linaitwa wamasai?
Is it true our good manners come from europe?
Sijasema kama kulikuwa hakuna makabila, la hasha, Makabila yalikuwepo ila siyo kama tuyajuavyo leo hii, Wazungu(Wakoloni) waliwapanga watu upya, labda nikuulize kwa nini Tanzania tunaita Wapare lkn Kenya wanaitwa Wataita? lkn kwenye takwimu inajulikana kama Wataita ni kabila tofauti na Wapare ambapo siyo kweli kwani wote ni wamoja ila kuna Mtawala aliaamua kujenga mpaka na kusema ninyi mtakuwa Kabila la Wataita na wale kule ni Kabila la Wapare lkn watu wamoja, ...