Sio kila wanaokutanika hadharani wanafanya mkutano wa hadhara.Wanakusanyika hadharani na picha Wana post Chadema wenyewe humu jamiiforums
mkuu tukiacha kumungunya maneno rais wetu ni bonge la kilaza.kwa huyu kujibu maana yake hakujua au ukilaza?
hilo halina mjadala. asingekuwa kilaza asingeingia kujadili kesi ya Mbowe kwenye majukwaa akijua ipo mahakamanimkuu tukiacha kumungunya maneno rais wetu ni bonge la kilaza.