Raisi akiulizwa swali lolote la kesi iliyoko mahakamani akatae kujibu

Tanzania kuna mihimili mitatu inayojitegemea na isiyoingiliana ambayo ni bunge na serikali na mahakama

Raisi akiulizwa chochote kilicho mahakamani akatae kujibu kuwa siwezi jibu swala lililoko mikononi mwa mhimili wa mahakama. hana haja Hata ya ku comment chochote aseme tu no comment Hilo liko mahakamani
Tanzania ina MHIMILI mmoja tu hiyo mingine ipo ipo tu kusubiri Maelekezo
 
Tanzania kuna mihimili mitatu inayojitegemea na isiyoingiliana ambayo ni bunge na serikali na mahakama

Raisi akiulizwa chochote kilicho mahakamani akatae kujibu kuwa siwezi jibu swala lililoko mikononi mwa mhimili wa mahakama. hana haja Hata ya ku comment chochote aseme tu no comment Hilo liko mahakamani
Hiyo ni nadharia tu ila kwa Tanzania, rais anashitaki na anatoa hukumu
 
Na ndio Maana Zito Kabwe alimuuliza lile swali kupima uwezo wake kwa makusudi kabisa wakati Zitto anajua kesi iko mahakamani akamtegeshea Kwa makusudi na Raisi akaingia kichwa kichwa
Anyway washauri wa Raisi kazi wanayo

Hata akigoma kujibu, in reality anaingilia mwenendo wa mahakama. Hatuna katiba inayomzuia rais kuingilia Muhimili wowote na chochote.
 
By the way, Rais wetu hanashindwa kuelewa mipaka ya majukumu yake.
Swali kama lile kujibu directly ni kudhiisha kwamba yanayo fanyika huko mahakamani yeye ndio hanaya- coordinate.
 
Amtoe mwenzie apate kuvuta hewa safi na familia yake.Mmeshika dola waswas wa nini mpaka tuwekanewekane ndan hivi.Mnajitakia dhambi za bure tu kwenye dunia mpito hii
 
Na ndio Maana Zito Kabwe alimuuliza lile swali kupima uwezo wake kwa makusudi kabisa wakati Zitto anajua kesi iko mahakamani akamtegeshea Kwa makusudi na Raisi akaingia kichwa kichwa
Anyway washauri wa Raisi kazi wanayo
MaCCM akili zenu hazina akili. Na hicho kibibi cha kiarabu ndio bure kabisa.
 
Kwenye kesi ya Mbowe na makomandoo, ndiyo nimemwona yule mama ni ibilisi asiyestahili hata punje ya kuheshimiwa.

Anayestahili kuheshimiwa ni yule tu mwenye uwezo wa kuheshimu utu wa wengine. Shetani anastahili kukemewa, siyo kuheshimiwa.
 
Tanzania kuna mihimili mitatu inayojitegemea na isiyoingiliana ambayo ni bunge na serikali na mahakama

Raisi akiulizwa chochote kilicho mahakamani akatae kujibu kuwa siwezi jibu swala lililoko mikononi mwa mhimili wa mahakama. hana haja Hata ya ku comment chochote aseme tu no comment Hilo liko mahakamani
Mimi nna mama yangu mzazi yupo kijijini ni wa miaka 86 kwa sasa.
Amenishangaza mshangao ambao bado nautafakari.
Katika kupeana salamu wakati nimempigia simu kumsalimu nikamuuliza hali yake kasema ni nzuri na anamshukuru Mungu.
Katika kuendelea nikamuulizia kama bado anayo sukari ya chai. Yeye kajibu ninayo ila vitu vimepanda sana, sii sukari, mafuta, mchele na vingine vyote vimepanda.
Nikamwambia hilo ni la kawaida kwani maisha hubadilika. Yeye kasema ni sawa lakini kwa sasa ni suala la ghafla mno na ni kwa sababu tunaongozwa na mwanamke.
Nikamuuliza kwani huyu mwana mke ana shida? Kasema tena kubwa, hawezi kujisimamia yeye kama yeye bali hutegemea kile atakachosukia kutoka kwa mwanaume. Sasa wameisha mchanganya naye amejichanga kwa kutaka kutenda yote ya wenye nia nzuri na mbaya, hasa hao waliomshikilia sasa wana nia mbaya na ni maangamizi yake.
Kaendelea kusema hata mkinitumia elfu 20 nikienda m-pesa kutoa wananiambia Samia kachukua hapo elfu tatu, ona sasa pesa niliyotumiwa kachuka elfu tatu tayari bado nikienda dukani nakuta nakutana na bidhaa alizopandisha anaendelea kuninyanganya ile aliyonibakishia.
Kamalizia kwa kusema, Mungu alimchukua Magufuli kwa nia ya kutu adhibu maovu yetu, tunapaswa kutubu kwa kumrudia Mungu.Huyu mwanamke ni fimbo ya Mungu kutuadhibu.
Yaani nimetafakari hizi kauli za huyu mama yangu mzee sikupata jawabu kwa upesi na bado ningali nikiliwazia.
Sasa nikirusi kwa ushauri wa mtoa mada nataka kumuuliza hivi mama amehudumu serikali miaka mingapi hadi kufikia umakamu wa raisi na sasa ni raisi?
Hajui mahakama ni mhimili unaojitegemea na likija swali linalohusu kesi iliyopo kule atajibu je?
Hawezi kutofautisha kati ya wafungwa na maabusu?
Hajui mkosaji na aliyekosewa ni nani anae wajibu wa kuomba msamaha?
Kama upambanuzi wa haya hayapo ndio maana jitihada zifanyike kujaribu kumpa majibu ya maswali atakayo ulizwa sasa na siku zijazo.
 
Akili kubwa
 
shwainnnn 🐖 🐖 nyie ... kinachofanika kesi ya #mbowesiogaidi unadhani hatujui? ila kiukweli hamtokaa wala kulala kutoisahau CHADEMA ktika maisha yenu.
CHADEMA NEVER DIE✌️✌️
 
CC: YEHODAYA Pascal Mayalla kazi kwenu na mamayenyu
 
Zamani P. alikuwaga na Akili nzuri tu! Lakini tangia ahojiwe na Bunge Dhaifu la Ndugai aka Mazuzu, P huwe kumtofautisha Hayawani wa CCM wanaoendekeza njaa (Mayala).
mkuu huyu dogo tangu alivyobadili akili zake kuzipeleka lumumba yaani haeleweki kabisaa kapoteza mwelekeo
 
Back
Top Bottom