Raisi akiulizwa swali lolote la kesi iliyoko mahakamani akatae kujibu

Unasema rais akiulizwa kesi ya mahakama asijibu.
Wakati yeye ndo anateua majaji?
huo muhimili wa mahakama unajitegemea vipi?
wakati ni boss wao?
Hakuna muhimili unaojitegemea hapa Tanzania ukamgomea C in C.
tunadanganyana tu.
 
Tanzania kuna mihimili mitatu inayojitegemea na isiyoingiliana ambayo ni bunge na serikali na mahakama

Raisi akiulizwa chochote kilicho mahakamani akatae kujibu kuwa siwezi jibu swala lililoko mikononi mwa mhimili wa mahakama. hana haja Hata ya ku comment chochote aseme tu no comment Hilo liko mahakamani

toka lini mtanzania kuto kushindwa kujibu.

mtanzania akiulizwa swali lazima hata jibu tu.

mfano mzuri nenda mtaani sema kwa sauti kubwa wote wapumbavu. watakuja zaidi ya kumi kuja kukujibu swali lako !
 
Tanzania kuna mihimili mitatu inayojitegemea na isiyoingiliana ambayo ni bunge na serikali na mahakama

Raisi akiulizwa chochote kilicho mahakamani akatae kujibu kuwa siwezi jibu swala lililoko mikononi mwa mhimili wa mahakama. hana haja Hata ya ku comment chochote aseme tu no comment Hilo liko mahakamani
Mbona umechelewa sana, alikwisha jibu na kasema awe na adabu! Hilo ndilo kosa rasmi la Mbowe, mengine ni mapambio tu.
 
Tanzania kuna mihimili mitatu inayojitegemea na isiyoingiliana ambayo ni bunge na serikali na mahakama

Raisi akiulizwa chochote kilicho mahakamani akatae kujibu kuwa siwezi jibu swala lililoko mikononi mwa mhimili wa mahakama. hana haja Hata ya ku comment chochote aseme tu no comment Hilo liko mahakamani
tatizo hatia ndo inapelekea yote hayo!!
 
Kwa nini?
Tanzania kuna mihimili mitatu inayojitegemea na isiyoingiliana ambayo ni bunge na serikali na mahakama

Raisi akiulizwa chochote kilicho mahakamani akatae kujibu kuwa siwezi jibu swala lililoko mikononi mwa mhimili wa mahakama. hana haja Hata ya ku comment chochote aseme tu no comment Hilo liko mahakamani
 
Sawa, ilimradi tumekuwa Taifa la michongo hata hii comment ni ya mchongo.
Ni ajabu Sana mkuu hii kesi inaonyesha jinsi gani watawala wetu wanavyoteswa nayo....
Huyo wanaemtaka aikalie kimya Ni Kama inamnyima usingizi....

Nchi ya michongo
 
Tanzania kuna mihimili mitatu inayojitegemea na isiyoingiliana ambayo ni bunge na serikali na mahakama

Raisi akiulizwa chochote kilicho mahakamani akatae kujibu kuwa siwezi jibu swala lililoko mikononi mwa mhimili wa mahakama. hana haja Hata ya ku comment chochote aseme tu no comment Hilo liko mahakamani
Mtamfundisha mpaka lini?
Tayari ameharibu mara kibao kwa kesi moja.
1. Mara aseme alitoroka nchi
2. Mara aseme wezake walishahukumiwa
3. Na sasa hakuheshimu mamlaka.
Kwa majibu haya ameonyesha wazi kuwa kesi hiyo ni ya kuchonga na ni uhasama tu
 
Tanzania kuna mihimili mitatu inayojitegemea na isiyoingiliana ambayo ni bunge na serikali na mahakama

Raisi akiulizwa chochote kilicho mahakamani akatae kujibu kuwa siwezi jibu swala lililoko mikononi mwa mhimili wa mahakama. hana haja Hata ya ku comment chochote aseme tu no comment Hilo liko mahakamani
Kwa nchi hii hakunaga biashara ya mihimili cjui mitatu.. muhimili mmoja ndo kila kitu. Labda Kenya!!!
 
Tanzania kuna mihimili mitatu inayojitegemea na isiyoingiliana ambayo ni bunge na serikali na mahakama

Raisi akiulizwa chochote kilicho mahakamani akatae kujibu kuwa siwezi jibu swala lililoko mikononi mwa mhimili wa mahakama. hana haja Hata ya ku comment chochote aseme tu no comment Hilo liko mahakamani
Sahihi!
 
Kwa nini akatae kujibu wakati yeye ndo aliamuru Polisi CCM Kufungua Kesi hiyo ya mchongo ? Unakumbuka akihutubia hazira pale Morogoro alisema wanaodai Katiba Mpya wanafanya Chokochoko? Na akaonya wale tu wanaojua wataziacheje familia zao ndo waendelee kudai katiba mpya? Sasa unataka kusema dhamira haimsuti Rais mara swala la Mbowe likiulizwa?
 
Katiba ya Tanzania imeeleza kila kitu kaisome
Katiba ya Tanzania inafuatwa na watawala?

Mara ngapi Marehemu Baba yako JPM alitumia fedha bila kuidhishwa na Bunge kama katiba inavyosema

Mara ngapi JPM amekataza mikutano ya kisiasa ambapo ipo kikatiba.?

Mara ngapi JPM amewataka Wakurungezi kuwa CCM wazi wazi na kusaidia uchaguzi kinyume cha katiba?

1.5T zilienda wapi?katiba unasemaje?
 
Back
Top Bottom