Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 14,220
- 20,709
Kwa vipande vya FEDHA wamenunulika, ZITTO nye huku Bara anateuliwa kukamilisha usemi "kabla jogoo hajawika mara tatu utakuwa umenisaliti", yani hawa jamaa wanasaliti waliowapambania na kupambania kura huku maua na mashada kwenye makaburi yakiwa hayajakauka.