Rais wa Zanzibar, Dkt. Mwinyi amemteua Nassor Mazrui na Omar Said Shaaban kuwa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi

Kwa vipande vya FEDHA wamenunulika, ZITTO nye huku Bara anateuliwa kukamilisha usemi "kabla jogoo hajawika mara tatu utakuwa umenisaliti", yani hawa jamaa wanasaliti waliowapambania na kupambania kura huku maua na mashada kwenye makaburi yakiwa hayajakauka.
 
Wazanzibar wote wanataka Zanzibar yenye mamlaka, nadhani labda umepoteza kumbukumbu tume ya Warioba ilipata maoni gani Zanzibar

Na itakuwa umesahau mwanaaheria mkuu wa Zanzibar alitoka bungeni kwenye bunge la katiba kupinga ukiloni wa Tanganyika.
Wacha kuwasemea individuals, kama kweli wanamaanisha nataka niwaone wakigoma kuteuliwa Rais wao toka Dodoma.

Hizo sifa za mtu mmoja mmoja haziwezi kujenga taifa kwa wakati, ukweli ni kwamba CCM Zanzibar wameridhika kupokea maelekezo toka Bara na kuyafanyia kazi, tena wakati mwingine kwa msaada wa polisi.
 
Tatizo linakuja kwanini walianza tambo nyiiiiingi kwamba hawapo tayari kujoin kwa sababu itakuwa ni kubariki haramu na huo ni uhanithi? (check clip kwenye post #50) Nini kimetokea katikati hapo?
Hii ndio hoja ya msingi inayohitaji majibu na kulikuwa na umuhimu gani wa kushinikiza raia wakapige kura tarehe 27 haliyakuwa walikuwa wanafahamu fika nguvu ya chama tawala kiulinzi.

kwa ninii waliitisha maandamano ya kupinga uchaguzi baada ya majimbo kuanza kutangazwa.

unagundua chama hakikuwa na mikakati ya baadae.
 
Kwa ukatili ule aliotendewa, sikutegemea kumwona anaungana na watesi wake kwa namna yoyote ile
I am even suprised kwa kweli
Njaa Haina baunsa ... Tshekedi baba yake aliuliwa na kabila na yeye akapozwa maumivu na kabila huyo huyo kwa kuachiwa Ikulu na kakubali
 
Bora tubaki 'keyboard worrior' kuliko kwenda front mwisho wa siku tunateguliwa nyonga, halafu wapuuzi wachache wanalamba shavu.
 
Madaraka matamu, I bet ndani ya kipindi kifupi atasahau 'adha' yote aliyotendewa.

That's polifix!
Sometimes it all not about him, what about those who sacrificed foe him? Wengine wamekufa, wamekua vilema, wamepoteza ndugu, wametendewa ukatili usio na kifani na wengine wametoa support ya hali na mali kwa ajili ya chama, does he still have the guts to face those people?
 
Nakumbuka alivyopigwa akaumizwa vibaya, naamini hata yale makovu bado anayo mpaka leo, tukaambiwa alinyimwa na serikali ruhusa ya kwenda kutibiwa Nairobi.

Leo anaingia kwenye V8 la serikali hiyo hiyo, huyu amekuwa msaliti sio tu kwa wanachama wao, lakini mpaka kwa nafsi yake na mwili wake mwenyewe.
Tatizo Mayala (njaa)
 
Siasa si harakati.....

Japo ndani yake kuna "harakati"....

USHAURI KWA WAPINZANI WA BONGO:

👉Mnapenda sana kutudanganya na kutokututofautishia siasa na harakati nyinginezo.
👉Wenzenu KENYA kila siku ni "vigeugeu"-lobbying....na wanaeleweka kwani RUTTO,KENYATTA,RAILA,MUDAVADI na wengineo si WANAHARAKATI....
👉Mh.Tundu Lissu aache kutuaminisha "ukombozi wa Tanzania" ilihali anafanya SIASA....achague moja...kukumbatia HOJA ZA LOBBYING za KISIASA ama AFANYE uanaharakati kama marehemu Ralph Abernathy,Malcolm X,Martin Luther King Jr,Fannie Lou Hamer,Desmond Tutu na wengineo.
 
Hana ajira nyingine zaidi ya kupiga siasa. Sometimes munkari ukishuka na mtu akaanza kupiga hesabu za 2020-2025 huku akili yake ikiwa imetulia, haya huwa ndio matokeo
Am just thinking, 2025 Act watapata wapi nguvu ya kusimama kama chapa Pinzani Zanzibar?
 
Sometimes it all not about him, what about those who sacrificed foe him? Wengine wamekufa, wamekua vilema, wamepoteza ndugu, wametendewa ukatili usio na kifani na wengine wametoa support ya hali na mali kwa ajili ya chama, does he still have the guts to face those people?
Nah, hayo ndio malipo ya politicians linapokuja suala la madaraka.
 
Mastermind snitch ZZK.
Very smart player, huyu i bet Magufuli atampa ulaji.

refer: Kitila.
Politics is all about lobbying and masterminding...

Tatizo wanasiasa wa upinzani wanajifanya kuwa km WANAHARAKATI...nasi tunawadhania hivyo...kumbe ni tofauti kabisa....
 
Back
Top Bottom