Rais wa Zambia mwezi 8 ofisini bila mshahara, Wazambia kwanza

Hakainde anaongea kweli toka moyoni hachukui mshahara wa serikali. Lakini pia hakainde ni bilionea ana ranchi kubwa sana za mifugo nadhani ndio tajiri wa kwanza au wa pili zambia. Mimi nimefika lusaka naifahamu.
 
Hichilema is the richest man in Zambia. Posho hachukui Ila huduma zote kuanzia chakula Hadi malazi anapewa bure na serikali.

Japo bila taarifa rasmi hatuwezi kujua nini anachukua
 
Back
Top Bottom