Rais Hichilema awataka wanaopanga kumpindua kuachana na mipango hiyo mara moja

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,618
Akiwa katika ziara katika eneo la Kanyama, katika Mji Mkuu wa Lusaka, Rais Hakainde Hichilema, amewataka wanaopanga mapinduzi wa Kijeshi wasiitishie mipango yao mara moja

Onyo hilo linakuja baada ya Mapinduzi kadhaa yaliyotokea hivi karibuni katika nchi za Afrika, (Niger na Gabon), huku kukiwa na malalamiko ya Wananchi nchini humo kuhusu ongezeko la gharama za maisha

Amesema, "Kwa wenzetu wanaofikiri kuwa sisi ni dhaifu kwa kuwa wema na wanaweza kuvunja sheria na kufikiria kuchukua madaraka kwa njia isiyo ya kidemokrasia, tunakuja kuwakabili,"
---

President Hichilema addressed a huge crowd during his visit to KanyamaImage caption: President Hichilema addressed a huge crowd during his visit to Kanyama

Zambia’s President Hakainde Hichilema has warned potential coup plotters not to threaten the southern African nation’s democratic rule and stability.

It is not clear why he sounded the warning, but it comes in the aftermath of several recent coups in Francophone Africa and complaints at home about the rising cost of living.

"To colleagues that think, we are timid by being kind and that they can break the laws and entertain thoughts of illegal takeover of government including undemocratic coup d'état... we are coming for you," he said.

Since gaining independence in 1964, Zambia has never experienced military rule, though there have been several foiled coup attempts.

Mr Hichilema, who won a landslide victory over an incumbent president in 2021, made the remarks on a visit to Kanyama, a suburb of the capital, Lusaka.

He acknowledged food prices were high and said the government was addressing the issue.

On Facebook on Monday evening after his Kanyama visit
, the president wrote that this included stopping maize grown in Zambia being smuggled into other countries and ensuring millers charged a fair price

Source: BBC
 
ikijimwambafai kwa wanajeshi , itamghalimu huyu akainde, bola atumie akili kuliko kuropoka na kuwatunishia wanajeshi, hajui wakiamua kwa umoja hakuna watakalomshindwa!?
 
Haikande...! Hili jina lina tafakuri nyingi...!

Angalia usije kandwa
 
Alikuwa anarusha dongo kwa wapizani wake kisiasa ,jeshi LA Zambia liko very disciplined ,kwaza HH ameweza Kurejesha heshima waliyopokwa vyombo vya usalama, kwa utawala uliopita na kupewa PF cadres ,akafikia hatua cadre akawa na nguvu kuliko police,
 
Hichilema akiwaza atakaula wali mkavu na samaki Kama yule wa NIGER, moyo unaenda mbio sana
 
Back
Top Bottom