Rais wa vijana Tanzania: Spika Ndugai achunge ulimi wake

Na mimi kama rais wa Marais wote Tanzania namuonya huyo anayejiita rais wa vijana (maana vijana hawana rais) aache mara Moja kumtishia spika wa bunge. Ajue kuwa ndugai hajavunja sheria yoyote ya nchi hii na alitoa maoni yake bila kwenda kinyume na katiba yetu hii japo ni mbovu. Watu wengi makada wa ccm wameona imekuwa fasheni Kila siku kuibuka na tamko la kupinga ndugai tena kwa vitisho eti tu ili rais aone wanampenda lakini nyuma ya pazia wanamendea uteuzi. Ebu tafakarini, je alichosema SSH kingesemwa na ndugai na vice versa unadhani wangesemaje?
unamuonya anayemkemea Ndugai wewe km Nani
kwanini asiyasemee Bungeni, kuna mental ya kupata kila mgao na hapeleki Kongwa
sasa kawekwa pembeni acha achambwe na kunyang'anywa Kadi mpokeeni huko upinzani NCCR
 
Rais wa vijana nchini ndugu Jackson Mbinjembinje amemjia juu spika wa bunge la JMT na kumtaka achunge kauli zake.

Aidha amehoji uhalali wa yeye spika kuionea uchungu nchi hii ili hali huko nyuma amefanya blunder nyingi zinazolizamisha taifa hili kiuchumi na kidemokrasia.

Ametolea mfano kauli ya CAG mstaafu Prof Assad ilivyobagazwa na Ndugai aliposema bunge ni dhaifu wakati ule wa sakata la sh 1.5 trilioni.

Bw. Mbinjembinje ameongeza kwa kusema kuwa kama kweli Ndugai ana uchungu na nchi hii basi awaondoe Covid-19 bungeni
Kwa nini achunge mdomo wake, Mtanzania mwenye kadi ya CCM haruhusiwi kujiunga wa kitaifa wa suala lolote nje ya chumba cha mikutano ya chama chenu ???
 
Story ndeeefu kumbe ujinga mtupu umekujaa
JPM NDIYE ALIYE INGIA CHADEMA KUTENGENEZA HAO WABUNGE ???? CHADEMA IMEKUFA KWA KUSAMBALATIKA YENYEWE KUTOKANA NA KUKOSA AKILI YA KIMIKAKATI ,KUKOSA VISION, KUTETEA MABEBERU MAFISADI NA KADHARIKA HIVYO MAGUFULI HAUSIKI,HAYO NI MATOKEO YA UPUMBAVU WENU WENYEWE ,SISI WENGINE TULIYAONA HAYO MAPEMA NA TULIWAAMBIA KUWA MNAKWENDA KUJIUA MKABISHA MFANO WA UJINGA ULIOUA UPINZANI NI KAMA HUU
.....Magufuli alipo nunua ndege wapinzani mkaja na gia sahihi ya kukosoa ndege kuwa ni panga boi,ndipo magufuli akanunua madege makubwa mkaanza kupotea kwa kuzipinga wakati hapo hawari mlisena videge panga boi ,moja kwa moja mkaonekani ni wafitini tu wa maendeleo ya nchi . Hapo utaona chadema na upinzani ilipo sema ndege zenyewe panga boi walikuwa wanatumia njia ya PUSH ( yani ya kuonyesha kuwa inatakiwa tufanye vizuri zaidi) ila baada ya kununuliwa ndege nzuri zaidi ...wapinzani mkaanza kutumia njia ya PULL (yani mkaanza kusema midege mikubwa na mingi ya kazi gani watu awali ndege)
Hiyo njia ya PUSH and then PULL ndiyo tuliyo waambia inakwenda kuua upinzani mkabisha.
Hata kwenye madini ni hivyo hivyo wapinzani siku zote walikuwa wanaitaka serikali kuzuia madini kuibiwa bila ya kunufaisha nchi hiyo ni njia ya kuisukuma serikali ichukue hatua " PUSH" sasa baada ya magufuli kuanza kuchukua hatua kwa kupush nguvu kudhibiti madini wapinzani mkaja na njia ya "PULL" yani kuivuta serikali isichukue hatua kwa kigezo kuwa tutashitakiwa na mambo mengi ya jinsi hiyo
 
Rais wa bodaboda , rais wa bao na rais wa wasafi nchi nzima ushawahi kusikia uchaguzi wao? Changamkia fursa ndugu yangu.

Kuna magepu kibao ya urais yamebakia kajaze gepu mojawapo haraka sana
kama mimi ni raisi wa UWABATA
 
JPM NDIYE ALIYE INGIA CHADEMA KUTENGENEZA HAO WABUNGE ???? CHADEMA IMEKUFA KWA KUSAMBALATIKA YENYEWE KUTOKANA NA KUKOSA AKILI YA KIMIKAKATI ,KUKOSA VISION, KUTETEA MABEBERU MAFISADI NA KADHARIKA HIVYO MAGUFULI HAUSIKI,HAYO NI MATOKEO YA UPUMBAVU WENU WENYEWE ,SISI WENGINE TULIYAONA HAYO MAPEMA NA TULIWAAMBIA KUWA MNAKWENDA KUJIUA MKABISHA MFANO WA UJINGA ULIOUA UPINZANI NI KAMA HUU
.....Magufuli alipo nunua ndege wapinzani mkaja na gia sahihi ya kukosoa ndege kuwa ni panga boi,ndipo magufuli akanunua madege makubwa mkaanza kupotea kwa kuzipinga wakati hapo hawari mlisena videge panga boi ,moja kwa moja mkaonekani ni wafitini tu wa maendeleo ya nchi . Hapo utaona chadema na upinzani ilipo sema ndege zenyewe panga boi walikuwa wanatumia njia ya PUSH ( yani ya kuonyesha kuwa inatakiwa tufanye vizuri zaidi) ila baada ya kununuliwa ndege nzuri zaidi ...wapinzani mkaanza kutumia njia ya PULL (yani mkaanza kusema midege mikubwa na mingi ya kazi gani watu awali ndege)
Hiyo njia ya PUSH and then PULL ndiyo tuliyo waambia inakwenda kuua upinzani mkabisha.
Hata kwenye madini ni hivyo hivyo wapinzani siku zote walikuwa wanaitaka serikali kuzuia madini kuibiwa bila ya kunufaisha nchi hiyo ni njia ya kuisukuma serikali ichukue hatua " PUSH" sasa baada ya magufuli kuanza kuchukua hatua kwa kupush nguvu kudhibiti madini wapinzani mkaja na njia ya "PULL" yani kuivuta serikali isichukue hatua kwa kigezo kuwa tutashitakiwa na mambo mengi ya jinsi hiyo
Kweli wewe ni ZUZU kweli. Unnecessary talking will reveal your ignorance. Kwa taarifa yako hakuna hoja ya maana uliyoibua zaidi ya kubwabwaja. pathetic.
 
Ikiisha hiyo kiki lazima ije nyingine mara paap 2025 hii hapa... siasa ni sayansi. Watu washasahau katiba mpya... na mzee wa lupango... haki itemdeke tu kupitia mahakama... kama ndiyo na iwe ndiyo kama siyo na iwe siyo... we are all equal before the law
Bado haujaifahamu CCM, hakuna vita hapo
 
Ww ni mjinga
JPM NDIYE ALIYE INGIA CHADEMA KUTENGENEZA HAO WABUNGE ???? CHADEMA IMEKUFA KWA KUSAMBALATIKA YENYEWE KUTOKANA NA KUKOSA AKILI YA KIMIKAKATI ,KUKOSA VISION, KUTETEA MABEBERU MAFISADI NA KADHARIKA HIVYO MAGUFULI HAUSIKI,HAYO NI MATOKEO YA UPUMBAVU WENU WENYEWE ,SISI WENGINE TULIYAONA HAYO MAPEMA NA TULIWAAMBIA KUWA MNAKWENDA KUJIUA MKABISHA MFANO WA UJINGA ULIOUA UPINZANI NI KAMA HUU
.....Magufuli alipo nunua ndege wapinzani mkaja na gia sahihi ya kukosoa ndege kuwa ni panga boi,ndipo magufuli akanunua madege makubwa mkaanza kupotea kwa kuzipinga wakati hapo hawari mlisena videge panga boi ,moja kwa moja mkaonekani ni wafitini tu wa maendeleo ya nchi . Hapo utaona chadema na upinzani ilipo sema ndege zenyewe panga boi walikuwa wanatumia njia ya PUSH ( yani ya kuonyesha kuwa inatakiwa tufanye vizuri zaidi) ila baada ya kununuliwa ndege nzuri zaidi ...wapinzani mkaanza kutumia njia ya PULL (yani mkaanza kusema midege mikubwa na mingi ya kazi gani watu awali ndege)
Hiyo njia ya PUSH and then PULL ndiyo tuliyo waambia inakwenda kuua upinzani mkabisha.
Hata kwenye madini ni hivyo hivyo wapinzani siku zote walikuwa wanaitaka serikali kuzuia madini kuibiwa bila ya kunufaisha nchi hiyo ni njia ya kuisukuma serikali ichukue hatua " PUSH" sasa baada ya magufuli kuanza kuchukua hatua kwa kupush nguvu kudhibiti madini wapinzani mkaja na njia ya "PULL" yani kuivuta serikali isichukue hatua kwa kigezo kuwa tutashitakiwa na mambo mengi ya jinsi hiyo
 
Huyu rais wa vijana alichaguliwa na vijana gani?

Au vijana uzao wa Mafisadi Tanzania?

Tutafika mahali mtu akiitisha press na kuongea akitoka nje anakutana na viboko vikimsubiri.

Labda tutakomesha huu upuuzi mpya unaoibuka hasa hasa kupitia huu utitiri wa online TV's

Kuna upuuzi mwingi sana huko.
 
Mimi mwenyewe nilikuwa chadema wala sikumpigia kura magufuli 2015 isipokuwa 2020 nimempigia jpm, chadema kimekuwa chama cha majuwa baada ya wazee awalio kianzisha kufa na kubaki wahuni wasio na akili ,chadema kilikuwa chama miaka ya mkapa siyo sasa
Inaonekana wazi hujui unachokiandika, kichwani umejaa fungus.

Wakati wa Mkapa chama kikuu cha upinzani kilikuwa CUF.
 
Ikiisha hiyo kiki lazima ije nyingine mara paap 2025 hii hapa... siasa ni sayansi. Watu washasahau katiba mpya... na mzee wa lupango... haki itemdeke tu kupitia mahakama... kama ndiyo na iwe ndiyo kama siyo na iwe siyo... we are all equal before the law
Soma au sikiliza hotuba ya Tundu Lisu kuukaribisha mwaka 2022 ndio utajijuwa ubongo wako umejaa fungus.
 
Back
Top Bottom