Rais wa ukweli, kipenzi cha watu wenye akili timamu

:A S 465:Jamani, huwa mnamnukuu sana hayati julius kambarage nyerere, mbona

hamumnukuu pale aliposema Ikulu si mahali pa majaribio?,nafadhaika kuona
:rain:

ndugu zangu na jamaa zangu.....tena wengine mnaonekana mna hekima, mbona la


:A S 465:SLAA kwenda kufanya majaribio Ikulu hamlioni?:hat:.


Mtazameni rais wa ukweli.:A S 465:



Being Simple Doesn't Cost A Thing!!!

9254630.gif
 
Kwa kiwango hicho cha kufikiri hakika watanzania bado tuna safari ndefu sana kufikia kwenye ukombozi wa kweli. Hivi watu wenye akili timamu wanawezaje kumchagua rais msanii kama kikwete?? Mtoa mada alipaswa kujiuliza kwa nini wapinzani wakubwa wa uongozi wa kikwete ni watu wenye upevu mkubwa wa ufahamu; wasomi na wanataaluma, wachambuzi wa mambo, n.k. Ndiyo maana hata vyuo vikuu vimecheleweshwa makususdi kufungua ili kuwanyima wanafunzi fursa ya kupiga kura kwani chama cha mafisafi kinafahamu msimamo wao.

ccm ina-survive kwa kura za wananchi mambumbumbu; wasiojua kuwa umaskini wao wa kutupwa umesababishwa na usanii wa kikwete na chama chake cha mafisadi.
 
:A S 465:Jamani, huwa mnamnukuu sana hayati julius kambarage nyerere, mbona

hamumnukuu pale aliposema Ikulu si mahali pa majaribio?,nafadhaika kuona
:rain:

ndugu zangu na jamaa zangu.....tena wengine mnaonekana mna hekima, mbona la


:A S 465:SLAA kwenda kufanya majaribio Ikulu hamlioni?:hat:.


Mtazameni rais wa ukweli.:A S 465:



Being Simple Doesn't Cost A Thing!!!
Kwani hiyo ni nafasi ya uzoefu au nafasi ya uongozi?
Kama ya uzoefu hata kikwete pia ha-qualify maana ana miaka 5 tu. In fact, sidhani kama kati ya wagombea kuna anaye-qualify ikiwa hiyo ni nafasi ya uzoefu. Kingunge, Makani et al ndio wangegombea. Acha kutema tema pumba ndugu yangu. Au ku-boost idadi ya posts zako?
 
bora hata huyo(mkwere) jk anatoa ma t.shirt na kofia kwa umati wa watu..ina maana chama chake kina hela yani ccm.na hata kama hicho chama (ccm)ni cha mafisadi basi naona sasa wameisha shiba kwaiyo waendelee kuiendesha nchi ili tuanze kuona matunda yake.

na sasa mnataka hicho chama kiachie wapewe watu kama(mchaga) SLAA ambaye hata jukwaani wanapewa msaada ya kibanda cha kusimamia,ambaye chama hakina hata uwezo wa kukodi speaker waiendeshe nchi wakati wao wenyewe wanaomba uchaguzi ufike lini ili wapate hela za misaada na wao ndio wanapatia kula hapohapo.na watu kama hawa wakipewa nchi basi mpaka chama chake kije kifikie kama ccm ujue ni miaka 50 ijayo ya ufisadi itaendelea

kwa iyo tuangalie sana:dance::biggrin1::biggrin1::biggrin1:

Looo !! Tanzania kumbe tunao watu wa ajabu kiasi hiki
 
Kwa ufupi mimi nataka hiyo sheria ya matumizi ya gharama za uchaguzi ibadilihshwe, maana mnachukua hadi pesa ya serikali kuwavalisha watu kofia, tshirt na mitaka taka kibao. Inabidi tupige marafuku kugawa hayo madudu kwenye kampeni ili tuone sasa kama watakuja watu.
 
Back
Top Bottom