Ikiwa ni moja ya sheria kali zaidi duniani ambapo mtu yeyote anayesambaza ushoga anaweza kuhukumiwa kwa kifungo cha maisha au kifo ambapo amesema sheria imeishapita na haiwezi kufutwa.
Akiongea katika mkutano wake na wanachama wa chama cha NRM amesema chama hicho hakijawahi kutumia lugha mbili tofauti au zinazokinzana ni kwamba wanachokisema mchana ndio ichoicho watakisema usiku na zoezi la utiani saini wa muswada umekamilika , hakuna Mtu atakayetubabaisha wala kutututisha wala kututingisha .
Waganda wanapaswa kuwa tayari kwa vita siku zote vita ni vya majasiri sio kwa watu wadhaifu , ikumbukwe baada ya muswada huo kutiwa saini , Rais wa Marekani Joe Biden ametishia kuiwekea vikwazo Uganda huku wanaharakati wa Uganda wakitoa wito kwa wafadhili wa kimataifa kuweka vikwazo dhidi ya viongozi wa Uganda na mpaka sasa tayari Spika wa Bunge la Uganda amefutiwa viza ya kuingia nchini Marekani.
Wakati hayo yakiendelea nchini UGANDA tayari zaidi watu 400 wametiwa mbaroni kwa kosa la kushiriki mapenzi ya jinsia moja .
Nchini Tanzania toka wimbi la mapenzi ya jinsia moja kuongezeka nchini huku wengi wakijinadi katika mitandao ya kijamii kama sehemu ya kazi yao , hivi karibuni Rais Samia Suruhu Hassan katika moja ya hotuba yake alifokea vitendo vya mapenzi ya jinsia moja huku akiwashauri watanzania kuwa kuliko kuwafanyia watoto ukatili huo au kuwashawishi kuingia katika hali hiyo ni bora mfanyane nyie wakubwa kwa wakubwa mana mnajua utamu wake lakini sio kwa watoto.
Kupitia baraka hizo niseme watanzania tumeshauriwa tuendelee kufanyana sisi wakubwa kwa wakubwa na sio watoto nafikiri mmenielewa wakati huo huo leo Serikali ya Tanzania imepokea na kusaini mkopo wa kiasi cha shilingi Bilioni 800 kutoka Benki ya Dunia kwa ajili kuboresha miundombinu mbalimbali jijini Dar.
Tanzania Oyeee ... Misaada yote Oyeee ... Mama Samia Oyeeee....., Mashoga Oyeeee , wasagaji Oyeeee... Marekani , UingerezA , Benki ya Dunia , IMF Oyeeee