Rais wa TLS: Tumezungumza mengi na Rais Samia

Rais wa TLS: Tumezungumza mengi na Rais Samia

Makelele yote kumbe Mwabukusi nae anabei.

CDM wanapenda kuwa promote watu kirahisi sana ambao hawana track record ya uzalendo.

Haya kiko wapi, hata huyo Lissu keshasahau kama anasota ‘death row’, hayo ya reforms kabla ya uchaguzi ndio kabisa kwenye kichwa cha Mwabukusi.

Yeye anahimiza watu wajitokeze kupiga kura siku ya uchaguzi.

Kaazi kweli kweli hawa wanaharakati uchwara. Halafu uso wake anavyoongea bashasha lazima kalamba dau nono safari hii.
Hii nchi askari wengi
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.
View attachment 3455369
Hata wenzenu waliamini wamekaa nae na wameelewana nae vizuri kuhusu 4R lakini kilicho wakuta hawana hamu.
Elewa neno "CHURA KIZIWI"
 
TLS KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA - ASEMA ADV. MWABUKUSI

Rais wa Chama Cha Wanasheria wa Tanganyika ( TLS) Wakili Boniface Mwabukusi leo amekutana na kuzungumza na Rais Samia Ikulu, Chamwino Dodoma.

Mara baada ya kikao hicho Wakili Mwabukusi akizungumza na waandishi wa habari katika viwanja vya Ikulu amesema, hoja zao zote walizomuwasilishia Rais Samia amezipokea vizuri na kwamba atazifanyia kazi.

Mwabukusi ambaye aliongea kwa bashasha ameongeza kuwa wao kama TLS wanamuunga mkono Rais Samia kwani ni kiongozi msikivu ambaye ametumia muda mrefu wa zaidi ya masaa 3 kuwasikiliza na kuwapa majawabu ya baadhi ya hoja zao huku nyinginezo zikiendelea kufanyiwa kazi.
Acha uongo
 
teAmekula vitafunwa vya ikulu akapata tabasamu la kuonesha katika TV.

Ile nyumba nyeupe ukiingia na kutoka unakuwa na tabasamu na kucheka hata kwa vitu visivyo chekesha.

Anaulizwa walichoongea, anajibu tumeongea mengi. Kila mtu anatafuta e mrija kwa namna yake
Nina wasiwasi amefika bei,hakuna mkate mgumu mbele ya chai.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.
View attachment 3455369
Sawa, umehongwa kiasi gani na nzi wa chooni🪰, basi hapo kesho ataamka na kuja na hoja za Watanzania tuunge mkono CCM na juhudi uchwara za Mama ili aendelee kuliibia hili taifa na watoto wake.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.
View attachment 3455369
Hii ni habari njema, ina maana sasa kale ka simba ka Kizimkazi, kataachiwa!, minimum reforms za kanuni zitafanyika, ratiba ya uchaguzi itarekebishwa, Chadema wataingia kwenye uchaguzi?.

P
 
W
Alafu mie eti niandamane. Alafu eti yule wa USA aniambie mie wa TZ niandamane. Alafu eti yule wa Arusha aliekimbiza familiar yake Canada anidanganye mie niandamane. Alafu eti yule mwenye mke na watoto wake wapo Ubelgiji waniambie mimi niandamane. Alafu eti yule Wanairobi ambaye hata mazishi ya baba yake aliyefariki bongo hakuhudhuria maziko aniambie mie niandamane. Arafu eti yule Mchungaji aliyetuambia sisi wa Kawe tutapelekwa Birmingham aniambie niandamane. Arafu eti yule balozi aliyeshiriki kuwanunua akina Katambi, Gekuru wa Babati, Nasari, Dr Mashinji, Dr Molel, Mtolea, Mtatiro leo aniambie niandamane. La hasha abadan sijaingia mtego huo.
Wewe unawashwa hilo traako lako
 
Adv amefanya vizuri unapambana kwa kutoa ushauri ukipuuzwa ndio unaongea hili ni jambo jema sana..
 
Alafu mie eti niandamane. Alafu eti yule wa USA aniambie mie wa TZ niandamane. Alafu eti yule wa Arusha aliekimbiza familiar yake Canada anidanganye mie niandamane. Alafu eti yule mwenye mke na watoto wake wapo Ubelgiji waniambie mimi niandamane. Alafu eti yule Wanairobi ambaye hata mazishi ya baba yake aliyefariki bongo hakuhudhuria maziko aniambie mie niandamane. Arafu eti yule Mchungaji aliyetuambia sisi wa Kawe tutapelekwa Birmingham aniambie niandamane. Arafu eti yule balozi aliyeshiriki kuwanunua akina Katambi, Gekuru wa Babati, Nasari, Dr Mashinji, Dr Molel, Mtolea, Mtatiro leo aniambie niandamane. La hasha abadan sijaingia mtego huo.
Screenshot_20250827-122258~2.png
 
Makelele yote kumbe Mwabukusi nae anabei.

CDM wanapenda kuwa promote watu kirahisi sana ambao hawana track record ya uzalendo.

Haya kiko wapi, hata huyo Lissu keshasahau kama anasota ‘death row’, hayo ya reforms kabla ya uchaguzi ndio kabisa hayapo kwenye kichwa cha Mwabukusi.

Yeye anahimiza watu wajitokeze kupiga kura siku ya uchaguzi.

Kaazi kweli kweli hawa wanaharakati uchwara. Halafu uso wake anavyoongea umejawa na bashasha lazima kalamba dau nono safari hii.
Screenshot_20250823-084911~2.png
 
Back
Top Bottom