Tamko la viongozi wa mawakili wa chapters wa TLS juu ya shauri alilofunguliwa Rais wa TLS wakili Boniface Anyisile Mwabukusi kwenye kamati ya maadili ya mawakili taifa.
Ni aibu kubwa kwa mtu kuongoza taasisi kubwa halafu anakuwa ana kesha ana tweet idiotic post kwa umma.
Ma advocate tulikosea sana nadhani ni hizi elimu za kukariri tunashindwa kuwa ma critical thinkers, kuchagua bila kutumia akili, bila kutafakari Historia ya mgombea, tunamshukru sana Mh. Rais...
“Hakuna Chama kinachopendwa Nchi hii kama Chadema, na ndicho chama cha kweli cha upinzani hapa Tanzania, kuthibitisha hilo Juzi mmeona furaha ya watanzania Chadema walipofunguliwa kufanya Siasa” Adv. Boniface Mwabukusi - RAIS WA TLS
"Hivi vyama vingine ukikuta watu wanajiita wanachama, jua kuna...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe, Jumapili ya leo
Leo naanza na asante na Pongezi kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa kitendo cha yeye ambale ni Makamu wa Rais wa JMT, kukuikubali na kuiunga mkono kwa asilimia 100%...
Rais wa Chama cha Mawakili Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi, akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini 2026 yenye kauli mbiu ‘Mchango wa Mahakama katika Ustawi na Maendeleo ya Taifa’, jijini Dodoma, amegusia suala la Oktoba 29, 2025 akisisitiza kuwa kila anayepaswa kuwajibika...
Wameteka, wamepoteza, wamejeruhi wameua na hawataki kukiri makosa yao waliyoyafanya kwa uwazi na mchana kweupe kwa kuwa walishatuona sisi sote ni kama mbuzi wao wa kafara..
Na sasa eti wanataka kulazimisha waongoze maridhiano ili tuongezeke na watengeneze mazingira ya kuja kuua wengine...
Wakili Mwabukusi ambaye pia ni Rais wa TLS (Chama cha Wanasheria Tanganyika), akizungumza na Wakili TV leo, amesema TLS inachukulia suala la polisi kuzunguka katika ofisi zao kwa uzito mkubwa sana. Amesisitiza pia kuwa TLS si wahalifu bali ni chombo cha kisheria kinachotekeleza majukumu yake kwa...
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi ni miongoni mwa waliojitokeza Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo, Jumatano Septemba 10.2025 kusikiliza mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Wakili Tundu Lissu
Kesi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi aemesema Uchaguzi wa Mwaka huu umekuwa na changamoto na hii inatokana na yaliyojiri wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2018 ambapo iliuwa trend ya ukuaji wa demokrasia ya Vyma vingi katika taifa letu.
"Uchaguzi...
Wakuu habari,
Tufuatilie live ya Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi akitoa tamko Muda huu
https://www.youtube.com/live/u4jupslBLE8?si=gvSCRvis826W9uvQ
Wakili Boniface Mwabukusi: Sisi kama TLS tunawajibu wetu wa kisheria na katika kutekeleza wajibu wetu wa...
Wakuu habari za muda huu?
Naandika hapa nikiwa nimefura kupitiliza. Imetosha sasa, hii serikali inabidi ifike mahali iheshimu raia.
Haiwezekani watu wawe wanajizimia zimia tu mitandao wanapojisikia.
Watu tumejiajiri huko YouTube, na leo jioni hii nilikuwa na darasa (huwa natrain watu mbali...
NINA LAANI NA KUKEMEA UNYANYASAJI NA SHAMBULIO LA KIIMANI LINALOFANYWA DHIDI YA WAUMINI WA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA.Ni Vema Viongozi wa Serikali wakatambua kwamba
1.Nikiambiwa nichague kati ya Yesu na Tanganyika nitachagua Yesu.
2.Nikiambiwa nichague kati ya Yesu na Ukimya munao uita amani...
https://youtube.com/shorts/FWDKb8Whcds?si=Pjlh0CNSjwXKsaA3
Ukisikiliza kwa makini Maneno ya huyu Wakili Musomi ndipo unaweza jua hii nchi haina Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Aliyeko pale ni kikaragosi cha CCM ili kutekeleza maagizo toka juu.
Tafakari kwa kina.
National law societies, like the Tanganyika Law Society (TLS), primarily focus on representing and protecting the interests of the legal profession and the public. This includes advocating for fair conditions of practice for lawyers, ensuring access to justice for the public, and promoting the...
Akitolea mfano kutoka NCCR Mageuzi alizungumzia jinsi Ofisi ya Msajili inavyohusika kuvuruga Vyama vya kweli vya upinzani, sasa tunashuhudia kinachoendelea CHADEMA, ambapo amesema;
"Shetani hawezi kumfukuza Pepo, hakuna Ufalme unaojifitini. Msajili anajua kwanini Vyama vipo."
"Nimekuuliza...
Kongamano kubwa la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2025.
https://www.youtube.com/live/OsDzcv1mgK0
Jaji Warioba
- 2015 Kuna sababu Nyingi zilizofanya wagombea wakaenguliwa lakini zile hazikuwa na Misingi iliyoko kwenye sheria za Uchaguzi wala Katiba ya Nchi na ilileta...
bashungwa
kesi
kesi ya lissu
kitaifa
kongamano
kubwa
kuhusu
kujadili
lissu
mahakama
mambo
mambo ya
mambo ya ndani
mkuu
mwabukusi
mwaka
mwaka 2025
mzee
mzee warioba
ndani
raisraiswatls
serikali
tanzania
tls
uchaguzi
uchaguzi mkuu
uchaguzi mkuu 2025
waziri
Wakati akizungumza kwenye maadhimisho ya siku ya sheria nchini rais wa chama cha wanasheria Tanganyika Boniface Mwabukusi amesema kuwa;
"Tunaposhirikiana na Serikali hatulambi asali, tunapata changamoto watu wanapoona tunashirikiana na serikali wanafikiri tunalamba asali. TLS siyo kikundi cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.