Rais wa TLS: Tumezungumza mengi na Rais Samia

Leo Nimefika Ikulu CHAMWINO kuwasilisha Majumuisho ya wadau na tulipata nafasi ya kuzungumza na Kumueleza Mh.Rais wa Jamuhuri ya Muungano kuhusu Utawala Bora,Haki za kushiriki katika chaguzi za kidemokrasia, Masuala ya Utekwaji na enforeced Disappearance , Kuhusu Umuhimu wa kuwa na chaguzi zinazozingatia haki za wananchi kupata,Watu na wagombea kutokuondolewa kwa kukatwa kwa masuala ya kiufubdi na Maeneo yenye kuhitaji maboresho ili kuwa na uchaguzi mzuri ulio Huru na wa Haki ili kuoata viongozi wanao wataka kupitia sanduku la kura.

Mh.Rais Ametusikiliza na kuahidi kuangalia namna bora ya Kufanya kwamambo yatakayowezekana kwa muda uliopo na kuboresha ili kuwa na Uchaguzi huru na Haki na kuondoa kadhia ya kutoa wagombea kwasababu za kiufundi.

Aidha kwa kuwa kulikuwa na Mapendekezo ya Muda mfupi,Muda wa kati na Muda mrefu ameahidi kuyapitia yote na kuona namna bora ya kuyatekeleza.

BAK Mwabukusi.
hakuna kitu atafanya maza, Labda Rostam na Kikwete wafe usiku huu na ninaomba wafe kweli kweli......hawezi maana wahuni wamemteka....take note of this post
 
Alafu mie eti niandamane. Alafu eti yule wa USA aniambie mie wa TZ niandamane. Alafu eti yule wa Arusha aliekimbiza familiar yake Canada anidanganye mie niandamane. Alafu eti yule mwenye mke na watoto wake wapo Ubelgiji waniambie mimi niandamane. Alafu eti yule Wanairobi ambaye hata mazishi ya baba yake aliyefariki bongo hakuhudhuria maziko aniambie mie niandamane. Arafu eti yule Mchungaji aliyetuambia sisi wa Kawe tutapelekwa Birmingham aniambie niandamane. Arafu eti yule balozi aliyeshiriki kuwanunua akina Katambi, Gekuru wa Babati, Nasari, Dr Mashinji, Dr Molel, Mtolea, Mtatiro leo aniambie niandamane. La hasha abadan sijaingia mtego huo.
wewe ni mpuuzi una feeble thinking! Short-sighted mind!, Sometimes you have to make a sacrifice. You play altruism!
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.
View attachment 3455369

Kwamba wamepokelewa vizuri siyo?

Walipaswa kwenda na agenda moja tu:

"Lissu kuachiwa."

Lissu angekuwa nje hayo mengine yote mbona yangefuata mkondo wake?

Sasa wanamwunga mkono Maza kwenye lipi? Utekanaji, upotezanaji, TAL kuendelea kushikiliwa, election bila reforms au ni kwenye mitano mingine?

Angekuwa kaenda Lissu huko mbona kingekuwa kimeshaeleweka?
 
Tangu Mwenyekiti Mbowe alipokwenda ikulu kukutana na Rais aligeuka kuwa Mbowe mpya, - by Tundu Lisu.
 
TLS KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA - ASEMA ADV. MWABUKUSI

Rais wa Chama Cha Wanasheria wa Tanganyika ( TLS) Wakili Boniface Mwabukusi leo amekutana na kuzungumza na Rais Samia Ikulu, Chamwino Dodoma.

Mara baada ya kikao hicho Wakili Mwabukusi akizungumza na waandishi wa habari katika viwanja vya Ikulu amesema, hoja zao zote walizomuwasilishia Rais Samia amezipokea vizuri na kwamba atazifanyia kazi.

Mwabukusi ambaye aliongea kwa bashasha ameongeza kuwa wao kama TLS wanamuunga mkono Rais Samia kwani ni kiongozi msikivu ambaye ametumia muda mrefu wa zaidi ya masaa 3 kuwasikiliza na kuwapa majawabu ya baadhi ya hoja zao huku nyinginezo zikiendelea kufanyiwa kazi.
 
Attachments

  • VID-20250827-WA0212(1).mp4
    16.4 MB
Tanzania kuna vituko vya karne, sijui shida iko wapi, kila mtu naomba naomba naomba naomba.......
 
wewe ni mpuuzi una feeble thinking! Short-sighted mind!, Sometimes you have to make a sacrifice. You play altruism!
Naona unachelewa kaka,anza kuandamana kesho watu wavunje ngoko zako kisha Lisu akitoka anakaribishwa Ikulu maisha yanaenda
 
TLS KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA - ASEMA ADV. MWABUKUSI

Rais wa Chama Cha Wanasheria wa Tanganyika ( TLS) Wakili Boniface Mwabukusi leo amekutana na kuzungumza na Rais Samia Ikulu, Chamwino Dodoma.

Mara baada ya kikao hicho Wakili Mwabukusi akizungumza na waandishi wa habari katika viwanja vya Ikulu amesema, hoja zao zote walizomuwasilishia Rais Samia amezipokea vizuri na kwamba atazifanyia kazi.

Mwabukusi ambaye aliongea kwa bashasha ameongeza kuwa wao kama TLS wanamuunga mkono Rais Samia kwani ni kiongozi msikivu ambaye ametumia muda mrefu wa zaidi ya masaa 3 kuwasikiliza na kuwapa majawabu ya baadhi ya hoja zao huku nyinginezo zikiendelea kufanyiwa kazi.
.
.
#haijawahikutokea
#tukawashangaze
 
Attachments

  • VID-20250827-WA1196.mp4
    16.4 MB
Mbona kapoa sana kama siyo yule aliekua anasema Muachieni Mdude ile fujo ndo alitakiwa aiamshe hapo
 
TLS KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA - ASEMA ADV. MWABUKUSI

Rais wa Chama Cha Wanasheria wa Tanganyika ( TLS) Wakili Boniface Mwabukusi leo amekutana na kuzungumza na Rais Samia Ikulu, Chamwino Dodoma.

Mara baada ya kikao hicho Wakili Mwabukusi akizungumza na waandishi wa habari katika viwanja vya Ikulu amesema, hoja zao zote walizomuwasilishia Rais Samia amezipokea vizuri na kwamba atazifanyia kazi.

Mwabukusi ambaye aliongea kwa bashasha ameongeza kuwa wao kama TLS wanamuunga mkono Rais Samia kwani ni kiongozi msikivu ambaye ametumia muda mrefu wa zaidi ya masaa 3 kuwasikiliza na kuwapa majawabu ya baadhi ya hoja zao huku nyinginezo zikiendelea kufanyiwa kazi.
#haijapatakutokea
#tukawashangaze
 
Attachments

  • VID-20250827-WA0579.mp4

#haijawahitokea
 
Labda Rostam na Kikwete wafe usiku huu na ninaomba wafe kweli kweli......hawezi maana wahuni wamemteka....take note of this post

akifa tu huyo wa kwanza inatosha kila kitu kinabadilika ...
 
Nilikua sijui kama mwabukusi ni mpole hivi, mtandaoni mikwara miingi leo kaenda ikulu kazi yake ni kujichekesha na kusema mama ni msikivu
 
Leo Nimefika Ikulu CHAMWINO kuwasilisha Majumuisho ya wadau na tulipata nafasi ya kuzungumza na Kumueleza Mh.Rais wa Jamuhuri ya Muungano kuhusu Utawala Bora,Haki za kushiriki katika chaguzi za kidemokrasia, Masuala ya Utekwaji na enforeced Disappearance , Kuhusu Umuhimu wa kuwa na chaguzi zinazozingatia haki za wananchi kupata,Watu na wagombea kutokuondolewa kwa kukatwa kwa masuala ya kiufubdi na Maeneo yenye kuhitaji maboresho ili kuwa na uchaguzi mzuri ulio Huru na wa Haki ili kuoata viongozi wanao wataka kupitia sanduku la kura.

Mh.Rais Ametusikiliza na kuahidi kuangalia namna bora ya Kufanya kwamambo yatakayowezekana kwa muda uliopo na kuboresha ili kuwa na Uchaguzi huru na Haki na kuondoa kadhia ya kutoa wagombea kwasababu za kiufundi.

Aidha kwa kuwa kulikuwa na Mapendekezo ya Muda mfupi,Muda wa kati na Muda mrefu ameahidi kuyapitia yote na kuona namna bora ya kuyatekeleza.

BAK Mwabukusi.
Kaongea points sana. Bilashaka suala la kuachiwa kwa Tundu Lisu lilikuwa moja ya agenda muhimu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom