Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,578
- 171,390
Kwa sauti ya braza k "ulikuwepooooooo"??Hata hawajongea mengi, wamesalimiana kwa mikono, wameketi kwenye sofa, wamekunywa jucie, wakacheka sana... wakaagana... wanakuja kutupa taarifa...
Kwa sauti ya braza k "ulikuwepooooooo"??Hata hawajongea mengi, wamesalimiana kwa mikono, wameketi kwenye sofa, wamekunywa jucie, wakacheka sana... wakaagana... wanakuja kutupa taarifa...
Kabisa... na leo tupo kawe... karibu upate tshirt na laki moja kazi yako ni kupiga vigelegele...Kwa sauti ya braza k "ulikuwepooooooo"??
Na mgombea UraisUmesahau ni mwenyekiti wa CCM taifa.
Hahahaha!Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.
View attachment 3455369
Kwani kadinali kasema nini? We unajua alichoendea?Angemkatalia na kadinali huyo very powerful hahahaha halaf tuone..