Rais wa Namibia ni bora Afrika mzima

Rais wa Namibia ni bora Afrika mzima

Malawi kwa mzee wa Takwimu. Huko kila hotuba lazima achapie ...sijui anakuwaga na ya kwake. Lazima achanganye namba tu😆
Una ambiwa Malawi wameshaanza kuwakamata watu wanao kosoa Report ya kupikwa ya tume
 
Bi-mkubwa sura yake tu imekaa kikauzu kauzu yaani ukiwa raia wa Nchi yake Au mtumishi kwenye taasisi zao lazima uogope kula rushwa Kila unapo ikumbuka sura ya raisi 🤣🤣
Ninacho amini mimi kama rais angekuwa mwanamke lakini hajatoka zanzibar angekuwa rais mzuri sana tatizo ni pwani haiwezi kutoa viongozi wazuri hata siku moja na hasa kutokana na aina yao ya maisha na malezi
 
Raisi mzuri hawezi kutokea kwenye ile circle Mzee
 
Nimeshindwa kuweka speech yake mkuu,kama unayo niwekee
Umeambiwa uweke picha watu wathaminishe nyoyo/manyonyo hii haijalishi umri wake, wanataka wapime kama manyonyo na chuchu zina uhusiano na akili/ukosefu wa akili ili kama ni hivyo tujue kama nchi chama 'pendwa' cha mbogamboga kilikosea wapi kutuwekea mitindi.
 
Tuelekeze vizuri deni lilikuwa ni pesa ngapi? Na deni la tangu lini.. na amelilipaje?

Tanzania haiwezi na haitoweza na kukaribia hata thumni kulipa deni letu la taifa , kutokana na aina ya viongozi tuliokuwa nao

Kiongozi anamiliki gari la million 200-500 na ni amepewa na serikali, hapo na unakuta kuna kijiji hakina zahanati inauogharimu milion 50 tu ambapo wajawazito na watoto , raia kiujumla wataweza kupata huduma ya Afya

Subirini kwanza.. kichwa kinauma
Zahanati inaweza gharimu 50M kuisimamisha ishu inakuja staff wa hiyo zahanati na stahiki zao zote kama sheria inavyotaka.

Na hizi stahiki ni swala endelevu. Huko interior siyo ajabu kukuta zahanati imemalizika lakini inapita hadi miaka minne haijaanza kufanya kazi kisa staff
 
It means.. hatuna uzalendo asilimia sectors zote

lakini tungekuwa na uzalendo, simple tu, ndio maana nakwambia ndoto kubwa sana, kwa stahili ya viongozi tulionao
 
Back
Top Bottom