Rais wa Namibia Atembelea Majirani zake wa Zamani Magomeni
Rais wa Jamhuri ya Namibia, Mhe. Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah, ametemebelea eneo la magomeni katika nyumba aliyowahi kuishi wakati wa harakati za ukombozi wa Namibia kupitia chama cha SWAPO.
Katika ziara hiyo ya kipekee iliyochanganya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amempokea Rais wa Namibia Dkt. NETUMBO Nandi- Ndaitwah, leo tarehe 20/6/2026 ikulu Jijini Dar es salaam alipowasili kwaajili ya ziara yake ya kikazi ya siku tatu yenye lengo la kuimarisha na kujadili masuala mbalimbali ya Uhusiano...
Ndugu zangu Watanzania,
Nashindwa Niandike nini hapa ,Nashindwa nimuelezee Vipi Rais Samia , Nashindwa Nizungumze Nini Nanyi Maana Rais Samia Anaendelea kuonyesha kuwa ni chaguo la Mungu , anaendelea kuonyesha Kainuliwa na kupewa kibali na Mungu Mwenyewe.
Rais Samia anaendelea kuonyesha kuwa...
Rais wa Jamhuri ya Namibia, Mheshimiwa Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah, anatarajiwa kuwasili nchini tarehe 19 Juni, 2026 kwa ziara ya kitaifa.
Ziara hiyo, ambayo ni ya pili kuifanya nchini Tanzania tangu aingie madarakani, inaendelea kudhihirisha uhusiano wa kindugu na wa kihistoria kati ya...
Jamani raisi wa Namibia ndio bora ,ktk kusimia lasimali za nchi yake, cha ajabu na kushangaza ni mwanamke nimekumia sana ,nimemunea uwivu mkubwa.
Nimetamani sana kama ingekuwa unaweza kuuzima rais basi Tanzania tungemchukua huyu mama ,yaani ni mzalendo. Tanzania ingekuwa kama marekani ndani ya...
Rais wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah
Rais wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah, amemfuta kazi Natangwe Ithete kutoka nyadhifa zake za Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Viwanda, Madini na Nishati, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ikulu siku ya Jumapili Oktoba 26, 2025
Kupitia taarifa hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.