Asee, ukisoma komenti za madebe tupu unaweza kudhani, hiyo reli ni kitega uchumi chake yeye na familia yake...Lazima utamsikia anamuomba hela ya kujenga reli iliyobuma..
Kwa yeyote tu anaomba.
Ni kweli mkuu,hata waandishi wa habari hasa wa Al jazeera ni wahanga wakuu wa utawala wa huyu jamaa.Hivi al-Sisi ndiye yule alipindua raisi aliyechaguliwa kihalali na kila uchwao anawahukumu kifo wapinzani wake pamoja na kuwafunga?
'cause huyu hana hata senti ya kumwomba achangie reli yetu mpya teh,teh,teh,teh.....Sioni impact yoyote ya Egypt kwa uchumi wa Tanzania kwa sasa..
Nchi yenyewe kwa sasa haipo politically stable.
Unaumia wewe mfia chamaWazee wa Miga mnaumia sana
mugabe, nkurunzinza, bakasa, idd aminNani unayedhani ana impact?
naona tbc wako live, huyo abdel fatah sioni kama anaimpact kwenye matokeo chanya ya uchumi wa viwanda unaozungumziwaga tanganyika
Al-Sisi angekuwa anaweza kuifanya Tanzania kuwa ya viwanda basi Egypt ingekuwa industrialized economy zamani sana.
Hivi kwa nini mnasubiri wageni wawaletee maendeleo ambayo wao wenyewe hawana?
Rais wa Egypt anakuja Tanzania for a specific and strategized two-pronged agenda. Moja anafaitilia mashamba ya nafaka ambayo Kikwete aliwapa walime wapakie kwenye ndege wapeleke Egypt yasije taifishwa
Second, anakuja kumsujudia Magufuli asijekufuta Mkataba wa 1929 unaokataza Tanzania kugusa maji ya Ziwa Victoria ili mkondo wa Mto Nile usibugudhiwe.
In return tutakachopata sisi ni ahadi za kusaidiwa kwenye utafiti wa kilimo na pia wataandika cheki ya kujengea misikiti. Muaraba akitaka kuingia kwenye kichwa cha Mwafrika anamuahidi Msikiti.