"Rais wa misiba"

"Rais wa misiba"

We Unaonaje Wananchi wenye Majonzi walivyomshangilia Lowassa Magu angeweza Kustahimili?

Lowassa mwenyewe ni nusu mfu tu.

Hapo usikute alijitutumua kweli kwenda uwanjani.

Hivi anaumwa nini huyo mzee?
 
Tutofautishe msiba wa mtu m1 m1 na msiba wa kitaifa aise. Msiba wa kitaifa raisi yuko nchi kwanini asiende?
 
Kama ilivyodhaniwa/ ilivyotarajiwa, rais Magufuli hakuwepo kwenye hiyo shughuli.
Acha uongo/upotoshaji...Ilivyodhaniwa/ilivyotarajiwa na nani? Wananchi wengi ninaowajua walidhania/walitegemea Rais wao ataungana nao kwenye msiba huu wa kitaifa. Labda ni wewe tu usiye na utu wala huruma ungeweza kudhani/kutarajia hivyo.
Watu wengi sana wanamlaumu kwa kukosekana kwake. Kwangu hizo ni lawama halali kabisa.
Kwako itakuwaje lawama halali baada ya kudai alichotenda ndicho ulochodhania na kutarajia! Kama huo si undumilakuwili, ni nini?
Sababu za yeye kutokwenda mimi sizijui na wala sitajaribu kuanza kusadiki ni nini kilichomfanya asiende.
Unadai hujui sababu ya yeye kutokwenda na unakiri kutojaribu kusadiki kilichomfanya asiende, sasa umeanzisha thread ya nini? Au ni uchokozi tu katika kumtetea wa kwetu.
Ila pia bado sijasahau kipindi ambapo Jakaya Kikwete alikuwa rais na watu wengi tu [hususan humu JF] walikuwa wakimbeza kuwa eti anapenda sana kwenda misibani kuuza sura kuliko kufanya kazi.
Ndiyo, kazi kubwa aliyofanya Kikwete ni kuzurura tu angani kama vile hana kwao na kuhudhuria misiba...kumbuka tulimpa majina mengi tu kama Vasco da Gama na rais wa misiba.
Kuna watu walimbatiza hadi jina kuwa eti ni "rais wa misiba".
Hata huyu tutambatiza majina kulingana na tabia zake kama hazitaendana na majukumu yake kama yalivooainishwa kwenye Katiba na tayari mojawapo ya majina tulompa ni dikteta uchwara!
Kuna wengine walidai eti anaweka 'precedent' mbaya na kwamba eti watu watakuwa wanategemea kumwona 'rais' kwenye kila msiba utokeao.
Nani kasema kila msiba awepo? Kuna misiba ya Kitaifa ambapo yeye kama comforter-in-chief inabidi ahudhurie, k.m. ule wa maaskari wetu na huu wa watoto wetu wapendwa.
Vyovyote vile, urais ni kazi ngumu sana. Ni kazi ambayo kwa kiasi kikubwa haina shukurani. Ufanye hili, utalaumiwa na kulaaniwa. Usifanye lile, utalaumiwa na kulaaniwa.
Mwizi atalaumiwa kwa wizi, muongo atalaumiwa kwa uongo, dikteta uchwara atalaumiwa kwa udikteta...kila kiongozi atalaumiwa kwa mapungufu yake na huyu analaumiwa pia kwa roho mbaya na ukatili.
Wakati mwingine huwa hata sielewi kwa nini watu huwa wanapenda kuwa marais......
Hili swali kama ungemwuliza huyo ndugu yako kwa nini aliutafuta Urais nadhani utapata majibu murua tu kutoka kwake. Wengine kwa kutambua mapungufu yetu hatukuwahi kuutafuta Urais, kwa nini yeye alishindwa?
 
Wabongo bana...mlisema ya Bukoba kwenye tetemeko na mwisho wa siku Rais mkamsikia yupo kule akitoa pole.leo mmeanza tena.kweni hauoni katuma muwakilishi tena makamu wake?na pole yake ameitoa,waTanzania kwa kulalama sijui tukoje
Alienda kuwapiga majungu
 
Wabongo bana...mlisema ya Bukoba kwenye tetemeko na mwisho wa siku Rais mkamsikia yupo kule akitoa pole.leo mmeanza tena.kweni hauoni katuma muwakilishi tena makamu wake?na pole yake ameitoa,waTanzania kwa kulalama sijui tukoje
Alitoa pole au aliwatukana wana Kagera..bora ajaja huku Arusha maana angeacha simanzi nyingine..
UPINZANI KWENU
CHADEMA KWENU
AJARI KWENU
serikali aileti ajari na mimi sikuaidi ajari kwenye kampeini
 
Ni kukosa maarifa kulinganisha kifo cha diwani mmoja na watoto wadogo 30+ waliokua ghafla... NI KUKOSA MAARIFA!!

Hata hao ambao huwa wanafikia kukatiza shughuli zao na wakati mwingine kukatisha ziara zao nje ya nchi na kurudi nyumbani sio kwa ajili ya misiba kama hiyo uliyoitolea mfano!!!
 
Tupe orodha kwa asilimia ya wale waliombeza JK na wale waliomsifia wakati akihudhuria misiba kipindi chake cha urais.
Halafu ajabu yenyewe hata hiyo post aliyoitolea mfano wala haifanani na hili janga! Tena nimeona mchangiaji mmoja aliyesema "Rais wa Misiba" huyu jamaa ndo kageuza maoni ya mtu mmoja kuwa ndo agenda yenyewe!

Yaani mtu na akili zake timamu analinganisha kifo cha mtu mmoja na vifo vya watoto 30 waliokufa kwa ghafla hivi hivi!!
 
Wewe nro wale mnaofurahia rambirambi badala ya kusikitika kumpoteza ndugu yako. Mfyuuuuuu
 
Acha uongo/upotoshaji...Ilivyodhaniwa/ilivyotarajiwa na nani? Wananchi wengi ninaowajua walidhania/walitegemea Rais wao ataungana nao kwenye msiba huu wa kitaifa. Labda ni wewe tu usiye na utu wala huruma ungeweza kudhani/kutarajia hivyo.
Kwako itakuwaje lawama halali baada ya kudai alichotenda ndicho ulochodhania na kutarajia! Kama huo si undumilakuwili, ni nini?

Unadai hujui sababu ya yeye kutokwenda na unakiri kutojaribu kusadiki kilichomfanya asiende, sasa umeanzisha thread ya nini? Au ni uchokozi tu katika kumtetea wa kwetu.

Ndiyo, kazi kubwa aliyofanya Kikwete ni kuzurura tu angani kama vile hana kwao na kuhudhuria misiba...kumbuka tulimpa majina mengi tu kama Vasco da Gama na rais wa misiba.

Hata huyu tutambatiza majina kulingana na tabia zake kama hazitaendana na majukumu yake kama yalivooainishwa kwenye Katiba na tayari mojawapo ya majina tulompa ni dikteta uchwara!

Nani kasema kila msiba awepo? Kuna misiba ya Kitaifa ambapo yeye kama comforter-in-chief inabidi ahudhurie, k.m. ule wa maaskari wetu na huu wa watoto wetu wapendwa.

Mwizi atalaumiwa kwa wizi, muongo atalaumiwa kwa uongo, dikteta uchwara atalaumiwa kwa udikteta...kila kiongozi atalaumiwa kwa mapungufu yake na huyu analaumiwa pia kwa roho mbaya na ukatili.

Hili swali kama ungemwuliza huyo ndugu yako kwa nini aliutafuta Urais nadhani utapata majibu murua tu kutoka kwake. Wengine kwa kutambua mapungufu yetu hatukuwahi kuutafuta Urais, kwa nini yeye alishindwa?

Teh teh teh!

Too bad [for me] and lucky for you I don't battle old-ass Depend-wearing washed-up curmudgeons like yourself.

It wouldn't be a fair battle.

So bless your heart.

I hope you feel better now.

Peace out.
 
Haziwezi kuwa sawa kwasababu hata Mimi na wewe tu tumeshindwa kushabihiana katika kufikiri,ila ukweli ndio huo kuwa hawana hamu na yeye.
Unakili fikla zetu haziwezi kua sawa afu unasema wale watu wamemchoka,we umeingia mioyoni na vichwani mwao ukaona kua wamemchoka wote?waTanzania punguzeni kulalamika muda wote
 
Unakili fikla zetu haziwezi kua sawa afu unasema wale watu wamemchoka,we umeingia mioyoni na vichwani mwao ukaona kua wamemchoka wote?waTanzania punguzeni kulalamika muda wote
Najua unachotarajia kwasababu najua vijana wa sasa matarajio yenu,ukweli ni kuwa katika nchi hii mpaka sasahivi hakuna ambaye hajaonja machungu ya uongozi huu! Sisi tuliopo vijijini ndio tunaoona hali ilivyo,watu wanajiapiza kwa miungu yao.Najua kuwa wewe umepakwa utando machoni huwezi kuyaona hayo kwasababu ya kile unachotarajia.
 
Kijana ni nani?unanijua?fanya kazi wewe ndugu,usipoteze muda kupiga porojo.Rais huyu ndo tuliwahi kimtaka ktk nchi hii.sasa hv mnapiga kelele za nini?ni kweli maisha ni magumu sote tunajua lakini ni lini maisha yaliwahi kua rahisi toka dunia imeumbwa?miaka yote kuko hivi hivi.nyamaza bwana na ufanye kazi
 
Back
Top Bottom