jibril beder
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 236
- 235
Ndio rais pekee duniani ambaye akifa mshonaji sare zake za shule anaenda kwenye msiba...ila wakifa watoto 32 anatuma barua...he just not right
Angekufa aliye mshonea viatu angeenda kwenye msibaWabongo bana...mlisema ya Bukoba kwenye tetemeko na mwisho wa siku Rais mkamsikia yupo kule akitoa pole.leo mmeanza tena.kweni hauoni katuma muwakilishi tena makamu wake?na pole yake ameitoa,waTanzania kwa kulalama sijui tukoje
Unaposema Rais Kikwete alifanya madudu una maana gani?
Kumbuka hakuna Rais au Waziri Mkuu duniani anayetoka madarakani bila kufanya madudu.
Hoja ya msingi ni madudu gani na yalikuwa na impact gani kitaifa na kimataifa?.
Kweli. Lakini, kumbuka Tanzania siyo kisiwa. Anahitajika kukutana na super powers, ingawa afanye hivyo kwa justifiable events tu. Kiasi siku zote ndiyo muhimu, na siyo extreme kidogo au extreme nyingi.Kutosafiri safiri, kwa mfano....
Kweli. Lakini, kumbuka Tanzania siyo kisiwa. Anahitajika kukutana na super powers, ingawa afanye hivyo kwa justifiable events tu. Kiasi siku zote ndiyo muhimu, na siyo extreme kidogo au extreme nyingi.
Kwa upande mwingine, hizo pesa zinazookolewa na safari zipo wapi na zinatumikaje? Maana tuliambiwa ni billions of TZS zinaokolewa.

You are another disgrace to the mankind. May the good Lord forgive you !!!!Nyuzi na mabandiko ya Kikwete kuitwa 'rais wa misiba' ni nyingi/ mengi mno humu.
Kwa sisi tuliopo muda mrefu humu na tulio na kumbukumbu nzuri tunayajua hayo.
You are a worthless piece of shit. You are worse than the scum of the earth.You are another disgrace to the human society. May the good lord forgive you !!!!
Wewe ndio umesema ukweli hasa kwa nini huyu JPM hakwenda Arusha . . , na kwa chuki yake kwa CDM na watu wa Kaskazini . . , ndio maana anaongoza mikoa ya Kask kwa mkono wa Chuma kupitia wakuu wake wa Wilaya na Mikoa . .Alijua Lowassa Angehudhuria Alijua Lowassa angeshangiliwa, He can not stand mtu mwingine anapewa sportlight mbele yake. Hiyo ndio sababu akaingia Mitini anajua Alipokonya Urais wa Lowassa, Anajua Lowassa anapendwa na Kuheshimkwa Kuliko yeye, Ndio sababu ya Kuzuia Mikutano Kisa Mtu mmoja tu Lowassa! Magufuli amemkimbia Lowassa Arusha Period!
Na ndio maana wengi wamekuelewa kuwa na wewe siku hizi ni mkabila, ni wa hovyo hovyo tuu . .Lowassa mwenyewe ni nusu mfu tu.
Hapo usikute alijitutumua kweli kwenda uwanjani.
Hivi anaumwa nini huyo mzee?
we mjinga kweli, kipindi alihudhuria msiba wa huyo mzee alikuwa mapumzikoni nyumbani and he participated as a friend and not as the state officerNdio rais pekee duniani ambaye akifa mshonaji sare zake za shule anaenda kwenye msiba...ila wakifa watoto 32 anatuma barua...he just not right
Upuuzi mtupu! We endelea kubeba box uko US mambo ya huku bongo yanakuhusu nini?!
Wewe unafikiri Nyerere aliposema ikulu ni mzigo hakumaanisha. Yule mzee alikuwa na akili sana anazijua akili zetu. "Alisema ikulu ni mahali pa matatizo ikulu ni mzigo."
FğğNakubaliana nawe.
Serikali ngazi ya taifa kweli ilikuwepo.
Na kuhusu serikali inafanya nini kupunguza hizi ajali za kizembe ambazo naamini zinaepukika hata kwangu hilo ndo la msingi zaidi.
Ila mwisho wa siku naamini kuwa, kwenye baadhi ya situations optics matter....it would have been a good thing for him to show up.
Mjinga wewe unamtete mtu ambaye watu wanakufa anaenda kufungua nyumba za kulalawe mjinga kweli, kipindi alihudhuria msiba wa huyo mzee alikuwa mapumzikoni nyumbani and he participated as a friend and not as the state officer
Hdudusn