Rais wa jf

Rais wa jf

Heeee! Shemeji shemeji. Asanteee! Mi staki kuwa na nyani ngabu lakini.
 
siku ile nilikuambia niwe mfuta vumbi ukakataa
sasa mie ndo mwanamke wa kwanza utajibeba
sijui kama jina lak litakuwepo
ngoja tukalale sasa hivi ili nianze kukuharibia

Usihofu ju ya hilo, wewe unafaa kuwa mfuta vumbi la viatu vyangu.
 
wewe umashachaguliwa hair stailist wa mwanamke wa kwanza
hiyo inakutosha sana maana ntakuwa na hafla nyingi mno

excelent ambao nimeshawachagua maids wangu wasipangiwe kazi zingine

Excellent Wizara ya michezo inalipa kweli?
Labda nifanye biashara ya visa za dili.
 
Heeee! Shemeji shemeji. Asanteee! Mi staki kuwa na nyani ngabu lakini.
Shemeji we sema tu ila hiyo wizara ya madini ina hela na nimekupendelea,we unataka nimpeleka wizara gani huyo kiumbe
 
wewe umashachaguliwa hair stailist wa mwanamke wa kwanza
hiyo inakutosha sana maana ntakuwa na hafla nyingi mno

excelent ambao nimeshawachagua maids wangu wasipangiwe kazi zingine
bado kuna wakuu wa wilaya
 
excellent, utaenda kutest uranium sasa hivi
unawapangia nlowachagua

rejea ansardi hapo juu
haya niambie wizara unayotaka ila isiwe mambo ya nje mana wenye bifu utawabania kwenda nje
 
mtakoma rejao keshaapishwa
na mie ndo mwanamke wa kwanza
zile kope ulizoninyima!
Jiandae kuwa raia wa afganistan

Heeee! Shemeji shemeji. Asanteee! Mi staki kuwa na nyani ngabu lakini.
 
wewe umashachaguliwa hair stailist wa mwanamke wa kwanza
hiyo inakutosha sana maana ntakuwa na hafla nyingi mno

excelent ambao nimeshawachagua maids wangu wasipangiwe kazi zingine

Unataka kuabika kwenye hafla?
Maana mawigi na weaving havitochoka kudondoka.Labda unifanye PERSONAL SHOPPER wako, hapo utafurahi mwenyewe.
 
hiyo nimempa RR

mbona afro yako haidondoki
ila usininunulie wigi la utajiju, silipendi

Unataka kuabika kwenye hafla?
Maana mawigi na weaving havitochoka kudondoka.Labda unifanye PERSONAL SHOPPER wako, hapo utafurahi mwenyewe.
 
mtakoma rejao keshaapishwa
na mie ndo mwanamke wa kwanza
zile kope ulizoninyima!
Jiandae kuwa raia wa afganistan
Waambie mapema kabisaa, wasije lalamika baadaye. Excellent naye naona anatumia nguvu kubwa sana kunimaliza..
 
huyu anaenda kuwa taster wa uranium kwa kulamba kule mkuju

we mwache tu, la sivyo afute yote ili apate nafasi nyingine

Waambie mapema kabisaa, wasije lalamika baadaye. Excellent naye naona anatumia nguvu kubwa sana kunimaliza..
 
we utakuwa unagawa pombe kwenye ofisi ya Rais

Haa haaa haaa Jemedari mbona cheo kikubwa halafu Rais mnambadolisha sio ****** tena !?...Coz akiwa ****** na cheo changu ni fulu mamlaka hata kama nagawa pombe haaaa haaa haaa haaa
 
Back
Top Bottom