Rais wa jf

Rais wa jf

Shemeji we sema tu ila hiyo wizara ya madini ina hela na nimekupendelea,we unataka nimpeleka wizara gani huyo kiumbe

tatizo uliyenipanga nae shemeji. Nashukuru kwa kunipa kitengo nyeti.
 
Wizara Ya Mambo Ya Nje....hehehe hiki kitengo kitamu sana aiseee
 
Mimi kitengo changu cha kupiga tripu za nje kwa sana tu kwahiyo huko kwenye umeme utawatesa akina Kongosho

heri yako utakuwa unaangalia live michezo huko hapa kasheshe tupu unaendelea kuwa kichwa cha mwenda wazimu ngoja niwaachie Afro na Lizzy
 
heri yako utakuwa unaangalia live michezo huko hapa kasheshe tupu unaendelea kuwa kichwa cha mwenda wazimu ngoja niwaachie Afro na Lizzy
Yaani wewe....yaani...yaani...sijui kesi yako hakimu nimuweke nani..nilikuwa nafikiria PJ au PRETA ila hawa watakupendelea kwenye kutoa maamuzi...lol...mzima aisee nimekumiss kweli:eyebrows:
 
pitia sredi nadhani page ya 2
kuna maids wachache nimewachagua
wewe ukiwemo
utashughulikia starehe za mwanamke wa kwanza

Mimi kitengo changu cha kupiga tripu za nje kwa sana tu kwahiyo huko kwenye umeme utawatesa akina Kongosho
 
Usimsahau Kloroquin naomba mumpatie wizara ambayo ata deal na VICHAA
 
kwa kuwa mie ni mwanamke wa kwanza, huyu ntamwombea katiba na sheria

mtafungwa hadi mtie adabu.
Ukiiba bata miaka 30
nyumba ndogo unanyongwa

mtajiju, Husyn hilo la kunyongwa nakupa dongo wewe unayetaka kuniibia rahisi Rejao

Usimsahau Kloroquin naomba mumpatie wizara ambayo ata deal na VICHAA
 
Yaani wewe....yaani...yaani...sijui kesi yako hakimu nimuweke nani..nilikuwa nafikiria PJ au PRETA ila hawa watakupendelea kwenye kutoa maamuzi...lol...mzima aisee nimekumiss kweli:eyebrows:

khaaa.... mie nishakufungulia kesi subiri hati ya kuitwa mahakamani...yaani sielewi itakuwaje hata rushwa haipenye nakaba mpaka penalti hata umwite mfalme wa amani...mie sijambo kabisa mie zaidi unavyofikiri... yaaani siku yote ...yaani imekwisha khaaa
 
Back
Top Bottom