Rais wa jf

Rais wa jf

huyu hana tofauti na amwit25, ambaye kazi yake ni kubadili majina na kujipa likes!

By the way mleta mada ni creator mzuri wa personalities!...japo ameninyima japo u-jairo!

umeona pk katunyima kabisa hata u bibi kiroboto kule dodoma jamani kweliiiiiiii
nashukuru ila ntaomba wizara ya mapenzi niwe naibu waziri kushugulika na ndoa za watu akuna raha kama kupata shida za ndoa za watu ukazifanyia kazi kwenye maisha yako ya ndoa
 
Jamani editing nimeshafanya na nimeshawarusha,mbona nye wakuu wangu,nimepiga magoti naomba kura.
 
Excellent embu mpe kijana ile kazi ya dodoma tafdhali natumaini hatofungamanana wengine atakuwa nyuturo
 
Excellent embu mpe kijana ile kazi ya dodoma tafdhali natumaini hatofungamanana wengine atakuwa nyuturo
umeongea mafumbo,unamaanisha bungeni nini?
 
yaani kuangalia kote umekosa nafasi yakunichomeka mimi swahiba wako nifikirie kumbuka tumesoma wote. Nitarudi baadae kidogo

Watu wanapenda kuchomekwa chomekwa: sijui kwa nini?
 
Excellent this is an excellent thread, thumbs up.
 
Mimi bahati nzuri tayari nina wizara yangu. Ambayo ni wizara ya upuuzi na mipango ya ghafla ghafla. Nasubiri kuapishwa tu.
 
Back
Top Bottom