Covid kumi na ngapi..Kujiunga East Africa tu hakuna la maana.
Waziri mkuu yuko Ethiopia anapambana kuwaangamiza watigre nashangaa tena hapa tunaambiwa amekujaWaziri mkuu mbona nimemuona adis ababa mda si mrefu
Huyo namba 3 nadhan ina uzito ila ukitegemea Ethiopia waziri mkuu ndo mwenye nguvu ni vema angekuja yeye kulipa uzito suala holoNahisi #3 ndilo lanaelekea kuwa lengo kuu.
- Jela zetu zina wahabeshi waliofungwa kwa kuingia nchini bila kibali.
- Mgogoro wa Ethiopia katika jimbo la Tigray
- Mgogoro wa Ethiopia,udan na Misri katika matumizi ya mto maji ya mto Nile.
Kaja Rais,huyu ni Mmama na siyo Waziri mkuu ambaye ni mwanaumeHawa jamaa ni wataalamu wa biashara ya abiria na ununuzi wa ndege tunajifunza nini kwao utalii nao ni biashara huko Ethiopia tusimwachie aondoke bila kutuachia kitu
Ingekuwa enzi ya utawala wa mwanadiplomasia Kikwete #2 na #3 zingekuwa muhimu sana.Huyo namba 3 nadhan ina uzito ila ukitegemea Ethiopia waziri mkuu ndo mwenye nguvu ni vema angekuja yeye kulipa uzito suala holo
Mara kadhaa nimekuwa nikalumu Sana Uhuru wa maoni, Mtu Kama wewe unasema kabisa hao wanaoingia bila vibali nchini wakielekea south waachwe kisa tu wanaenda south, Tena unasema wasindikizwe Hadi mpakani. Bila kujua hata hizi nchi wanapoelekea nao wanasheria zao za watu kuingia nchini mwao.Kuna Waethopia wengi gerezani nchini kwa kosa la kujaribu kupita Tanzania kwenda Afrika ya Kusini nchi ya maziwa na asali lakini wanazuiwa lupango wakihudumiwa na Serikali ya Tz miaka na miaka Ethiopia ikikosa manufaa yoyote. Kama wangerudishwa kwao wangelipa kodi nchi yao na watu wake wangenufaika au wangeachiwa waendelee na safari yao mpaka Afrika ya Kusini wao na familia zao wangenufaika na Serikali yao na wananchi kwa jumla wangenufaika kwa fedha za kigeni ambazo wafungwa hawa wangetuma nyumbani kwa familia zao. Tanzania ina woga wa kijinga dhidi ya wahamiaji haramu ambao hawapo maana siku hizi nchi hii haina mvuto tena kwa hiyo hakuna mhamiaji mwenye akili timamu atafanya uamuzi kwa hiari yake kuhamia hapa akijua mateso kama hayo atakayopata. Ni dhahiri Rais wao amekuja kwa mazungumzo ya faragha ili raia wake waliofungwa hapa warudi kwao na watakaokuja waachiwe wapite kwa usalama waende waendako ili Tanzania isiendelee kupata hasara ya kugharamia kuwepo kwao nchini. Tutegemee viongozi wetu watamwelewa msomi huyo!
Hii nadharia ya kutumia Kodi zetu kuwagharamia wapitaji inaleta walakini.Kuna Waethopia wengi gerezani nchini kwa kosa la kujaribu kupita Tanzania kwenda Afrika ya Kusini nchi ya maziwa na asali lakini wanazuiwa lupango wakihudumiwa na Serikali ya Tz miaka na miaka Ethiopia ikikosa manufaa yoyote. Kama wangerudishwa kwao wangelipa kodi nchi yao na watu wake wangenufaika au wangeachiwa waendelee na safari yao mpaka Afrika ya Kusini wao na familia zao wangenufaika na Serikali yao na wananchi kwa jumla wangenufaika kwa fedha za kigeni ambazo wafungwa hawa wangetuma nyumbani kwa familia zao. Tanzania ina woga wa kijinga dhidi ya wahamiaji haramu ambao hawapo maana siku hizi nchi hii haina mvuto tena kwa hiyo hakuna mhamiaji mwenye akili timamu atafanya uamuzi kwa hiari yake kuhamia hapa akijua mateso kama hayo atakayopata. Ni dhahiri Rais wao amekuja kwa mazungumzo ya faragha ili raia wake waliofungwa hapa warudi kwao na watakaokuja waachiwe wapite kwa usalama waende waendako ili Tanzania isiendelee kupata hasara ya kugharamia kuwepo kwao nchini. Tutegemee viongozi wetu watamwelewa msomi huyo!
unategemea nani atakujibu wakati mazungumzo yalikua ya falagha.Inafikirisha sana!
Rais wa Ethiopia yupo hapa nchini kwa ziara ya siku moja yenye lengo la mazungumzo ya faragha na Rais Magufuli wa Tanzania...
Mawazo ya mwenzio yana ujinga gani?You are so stupid!!Mara kadhaa nimekuwa nikalumu Sana Uhuru wa maoni, Mtu Kama wewe unasema kabisa hao wanaoingia bila vibali nchini wakielekea south waachwe kisa tu wanaenda south, Tena unasema wasindikizwe Hadi mpakani. Bila kujua hata hizi nchi wanapoelekea nao wanasheria zao za watu kuingia nchini mwao...
hata wakati huu, kumbuka tuna mipango mingi ya muda mrefu na mfupi ya kutumia maji ya ziwa victoria (chanzo cha mto nile) kiuchumi.Ingekuwa enzi ya utawala wa mwanadiplomasia Kikwete #2 na #3 zingekuwa muhimu sana.
Najua hizo ikulu ndogo zilikuwepo wakati wa Nyerere .... Anyway, kwa hiyo Mkoa wa Geita Ikulu ndogo iko Chato siyo.................!!?Hujui kila mkoa lazima uwe na ikulu ndogo?
Hawa hawajaanza leo, wanamiaka na miaka ukiacha wale wa Operation Solomon waliopelekwa Israeli kuishi.Vijana wanaokimbia kutoka ethiopia a.k.a wakimbizi
Wewe na huyo juha mwenzio wetu ni WAJINGA mliopitilizaMawazo ya mwenzio yana ujinga gani?You are so stupid!!
Wahamiaji wanaolekea Ulaya in either huelekezwa pa kuelekea au hurudishwa kwao.
Wanafungwa wenye rekodi ya Uhalifu.