Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,063
- 11,113
Mkuu unashangilia kodi zetu kunyumbulia namna hii?
🖕🏿Pumbavu.
Kamwe haiwezi kutokea kwa unaemtesa kwa mikono yako akakunenea mema. Tujifunze kwa idd Amin aliyekuwa Rais wa Uganda. Wananchi wa uganda waliunga mkono na wengine kwa njia tofauti waliyasaidia majeshi yetu kumuumiza Rais wao au serikali yao, hawakuwa wajinga bali ilisababishwa na dhuruma, mateso, vifo vya wapendwa wao, n.k . Tanzania kama taifa tunalo la kujifunza.Rais wa Burundi amemaliza ziara yake ya siku 3 nchini na kurejea nyumbani kwao akitumia ndege ya serikali ya Tanzania.
Ifike mahali wote tukubaliane kuwa Tanzania ina msaada mkubwa sana kwa ukanda huu wa Afrika mashariki na kati hivyo hata CHADEMA wawe wanainenea mema nchi yetu.
Mungu ibariki Tanzania!
Rais wa Burundi kutumia ndege ya namba moja wa Tanzania ni mkakati tu wa kiusalama uliotumika hapa. Ikumbukwe kuwa miaka ya nyuma Rais wa Burundi na mwenzake wa Rwanda walisafiri katika ndege moja na ndege hiyo ilitunguliwa na waasi na kuanzisha mauaji ya kimbari. Rais Nkirunziza, hayati alipotembelea Tanzania enzi za awamu ya nne, hali ilichafuka huko Burundi ikamlazimu kubaki Tanzania kwa muda na kurejea Burundi kwa njia ya barabara.Yaani hako kamsaada ka lift ya Ndege,unasema ndio tumekuwa donor country!!!?
Please we wa wapi?umezaliwa masasi,nanyumbu Mtambaswala,au Karagwe kyelwa,murongo boder,au Kahama kalumwa??
Hapa nyumbani kujilisha tu shida,hatuwezi kuzalisha sukari,mafuta yakututosha,tutaweza kusaidia wengine??
Kama ni msaada wa kiulinzi,kijeshi,hatujaanza leo,alifanya Nyerere,tafuta taarifa za kamati ya Ulinzi na usalama chini ya Hashim Mbita,utaelewa,sio hizo porojo alizokuwa anasema shetani wenu Jiwe,kua sie ni donor country
Ndege ya Rais wanayo tena kwa muda mrefu, ila haitumiki sana.Acha njoo unaitwa huku!?
Kwa hiyo kumpa mtu lift ya usafiri ni kuwa donor country!!!
So unataka kutuaminisha kuwa Burundi hawana uwezo wa kunua ndege ya rais wao au hawana ndege?
Diplomatic deeds msizichanganye na ujinga wenu wa chato
Hahahaaaa...... Wasalimie!Kwa kufanya hivyo ni kiasi Gani Cha fedha zimeingia kwenye account Yako? Na bila kuisema cdm huli? Upo low mno siku hizi.
Jiongeze mkuu, iko tofauti kati ya waha na warundi. Waha na wanyarwanda vivyo hivyo!... Unachofanya hapa iwe kwa kujua au makusudi ni "Steriotyping"Bwashe Haya Ni matumizi mabaya ya Ndege zetu, huyo Muha saizi yake ni Bus la Saratoga la Dar - Kigoma
Hahahahahah nimekuelewa aiseeRais wa Burundi amemaliza ziara yake ya siku 3 nchini na kurejea nyumbani kwao akitumia ndege ya serikali ya Tanzania.
Ifike mahali wote tukubaliane kuwa Tanzania ina msaada mkubwa sana kwa ukanda huu wa Afrika mashariki na kati hivyo hata CHADEMA wawe wanainenea mema nchi yetu.
Mungu ibariki Tanzania!
Jwaneng Galaxy amangoja waje
Ni Ndege inayofanya Safari zake from Dar, Kigoma, Bujumbura, Kigoma, Dar.Rais wa Burundi amemaliza ziara yake ya siku 3 nchini na kurejea nyumbani kwao akitumia ndege ya serikali ya Tanzania.
Ifike mahali wote tukubaliane kuwa Tanzania ina msaada mkubwa sana kwa ukanda huu wa Afrika mashariki na kati hivyo hata CHADEMA wawe wanainenea mema nchi yetu.
Mungu ibariki Tanzania!
Umenikumbusha mbali sana! Ukutaghila ni fwefwe - mrija mmoja wanywaji wengi kwa kupokezana na hakuna kuugua kikohozi, TB wala kuhara. Sijui ilikuwaje, ila walifyonzeana mate. Kwa kujua au kutojua haikufaa.Sio kimpumu tu, na komoni, na ulanzi na mchujo, ni mzee wa kutagila na fwefwe.
Pichani ni kaka yangu mpendwa, mzee wa ma Heineken johnthebaptist akijiburudisha na Heineken yake.
Kitu cha kijani
View attachment 1985271
Acheni kuilinganisha Tanzania na Burundi.Rais wa Burundi amemaliza ziara yake ya siku 3 nchini na kurejea nyumbani kwao akitumia ndege ya serikali ya Tanzania.
Ifike mahali wote tukubaliane kuwa Tanzania ina msaada mkubwa sana kwa ukanda huu wa Afrika mashariki na kati hivyo hata CHADEMA wawe wanainenea mema nchi yetu.
Mungu ibariki Tanzania!
Kutumia ndege yetu ni mikakati ya kiusalama tu afike salama kwake bila madhara au kuguswaAcha njoo unaitwa huku!?
Kwa hiyo kumpa mtu lift ya usafiri ni kuwa donor country!!!
So unataka kutuaminisha kuwa Burundi hawana uwezo wa kunua ndege ya rais wao au hawana ndege?
Diplomatic deeds msizichanganye na ujinga wenu wa chato
Tatizo basha wako hakuridhishi.
Hiyo ndio maana ya kuwa donor country kumbeee.Rais wa Burundi amemaliza ziara yake ya siku 3 nchini na kurejea nyumbani kwao akitumia ndege ya serikali ya Tanzania.
Ifike mahali wote tukubaliane kuwa Tanzania ina msaada mkubwa sana kwa ukanda huu wa Afrika mashariki na kati hivyo hata CHADEMA wawe wanainenea mema nchi yetu.
Mungu ibariki Tanzania!