Rais wa Burundi ametumia ndege ya Serikali ya Tanzania kurudi nchini kwao halafu CHADEMA wanadai sisi siyo Donor Country

JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
4,017
2,000
Rais wa Burundi amemaliza ziara yake ya siku 3 nchini na kurejea nyumbani kwao akitumia ndege ya serikali ya Tanzania.

Ifike mahali wote tukubaliane kuwa Tanzania ina msaada mkubwa sana kwa ukanda huu wa Afrika mashariki na kati hivyo hata Chadema wawe wanainenea mema nchi yetu.

Mungu ibariki Tanzania!
Yaani hako kamsaada ka lift ya Ndege,unasema ndio tumekuwa donor country!!!?
Please we wa wapi?umezaliwa masasi,nanyumbu Mtambaswala,au Karagwe kyelwa,murongo boder,au Kahama kalumwa??
Hapa nyumbani kujilisha tu shida,hatuwezi kuzalisha sukari,mafuta yakututosha,tutaweza kusaidia wengine??
Kama ni msaada wa kiulinzi,kijeshi,hatujaanza leo,alifanya Nyerere,tafuta taarifa za kamati ya Ulinzi na usalama chini ya Hashim Mbita,utaelewa,sio hizo porojo alizokuwa anasema shetani wenu Jiwe,kua sie ni donor country
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
43,366
2,000
Hiyo ni Diplomasia ya uchumi, unaelewa kule Dodoma wamewekeza nini hao Warundi? Na watakaofaidika na hizo ajira na kodi. Ni Warundi au Watanzania?

Think Big.
 
chrome

JF-Expert Member
Oct 10, 2011
262
250
Tatizo lenu Maccm munaangalia vitu vikubwa ambavyo watanzania wengi maskini hawafaidiki navyo sasa unasemea ndege wewe hapo ndege imekusaidia kipi huku ukiangalia Shule Nyingi hazina walimu wa Masomo ya sayansi na wewe hapo una Mtoto anahitaji elimu tena elimu kubwa au huna kizazi mkuu huzaagi?
Wewe ni pimbi ...huwezi zuia matatizo siku moja...umesoma mipango ya serikali kuhusu elimu au unapayuka tuuu
Sasa asisafiri kisa hamna madarasa???
 
zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
4,563
2,000
Rais wa Burundi amemaliza ziara yake ya siku 3 nchini na kurejea nyumbani kwao akitumia ndege ya serikali ya Tanzania.

Ifike mahali wote tukubaliane kuwa Tanzania ina msaada mkubwa sana kwa ukanda huu wa Afrika mashariki na kati hivyo hata CHADEMA wawe wanainenea mema nchi yetu.

Mungu ibariki Tanzania!
Chadema wao wanacho waza mara zote ni kusababisha fujo na kuondoa amani ya nchi, halafu wakati huo huo wanatamani eti..siku moja wawe watawala ktk nchi hii hii!! amabayo mara zote usiku na mchana wanaiombea mabaya!!!
ni genge la watu wa ajabu sana!!
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
50,862
2,000
Hiyo ni Diplomasia ya uchumi, unaelewa kule Dodoma wamewekeza nini hao Warundi? Na watakaofaidika na hizo ajira na kodi. Ni Warundi au Watanzania?

Think Big.
Kwahiyo Rais wa Nigeria atatumia ndege ya serikali ya Tanzania kwa sababu Dangote kawekeza Mtwara?

Wewe bavicha bure kabisa!
 
Jorojik

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
3,902
2,000
Rais wa Burundi amemaliza ziara yake ya siku 3 nchini na kurejea nyumbani kwao akitumia ndege ya serikali ya Tanzania.

Ifike mahali wote tukubaliane kuwa Tanzania ina msaada mkubwa sana kwa ukanda huu wa Afrika mashariki na kati hivyo hata CHADEMA wawe wanainenea mema nchi yetu.

Mungu ibariki Tanzania!
Bwashe Haya Ni matumizi mabaya ya Ndege zetu, huyo Muha saizi yake ni Bus la Saratoga la Dar - Kigoma
 
blackcornshman

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
5,184
2,000
Ni kwa ajili ya usalama, Waasi wakiitungua wafahamu wameitungua Tz,hata petero Nkurunzinza alikuwa anatumia ya South ndiyo maana walishindwa kuitungua kwenye jaribio la mapinduzi 2015.
 
TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
4,866
2,000
Rais wa Burundi amemaliza ziara yake ya siku 3 nchini na kurejea nyumbani kwao akitumia ndege ya serikali ya Tanzania.

Ifike mahali wote tukubaliane kuwa Tanzania ina msaada mkubwa sana kwa ukanda huu wa Afrika mashariki na kati hivyo hata CHADEMA wawe wanainenea mema nchi yetu.

Mungu ibariki Tanzania!
Watanzania wengi hatujuwi mambo yakiusalama let me tell u in short Burundi adui yake wa kimya ni Rwanda kama ulikuwa hujuwi na ndio maana akina nanii walipiga ndege ya Rais wa Burundi na Rwanda wote wakafa. Bahati mbaya Burundi bado lile kabila waliuliwa rais wao wapo kwa kiti ak Wahutu. Wakati Rwanda ni Tutsi. Kwahiyo Rwanda hayupo salama akijuwa Hutu wapo Burundi na uwenda siku vikundi vya kuiangusha serikali ya kagame vinaweza tokea Burundi au Uganda. Na ndio maana Uganda na Burundi poja na Kongo Raifiki yao mkubwa ni Tz. Yani kuanzia usalama na mambo ya ulinzi.
Ndio maana Rais wa Burundi kurudi na ndege ya Tz unaweza ona kama jambo la kaawaida ila kiusalama serikali ya Burundi inatuma salam kwa aduwi zake kuwa tunaye Rafiki naye ni Tanzania. Rwanda hata akifunga macho anaiyogopa Tz. Anajuwa ni watu hatari ktk usalama tupo kila mahali... Kenya ni rafiki zetu sana. Sema...
 
sysafiri

JF-Expert Member
Sep 19, 2019
1,149
2,000
Nadhani Serikali ya Burundi imelipia gharama za ndege yetu kumsafirisha Rais wao!
 
Mnasihi

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
7,133
2,000
Rais wa Burundi amemaliza ziara yake ya siku 3 nchini na kurejea nyumbani kwao akitumia ndege ya serikali ya Tanzania.

Ifike mahali wote tukubaliane kuwa Tanzania ina msaada mkubwa sana kwa ukanda huu wa Afrika mashariki na kati hivyo hata CHADEMA wawe wanainenea mema nchi yetu.

Mungu ibariki Tanzania!
Kwa kufanya hivyo ni kiasi Gani Cha fedha zimeingia kwenye account Yako? Na bila kuisema cdm huli? Upo low mno siku hizi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom