Rais wa Burundi ametumia ndege ya Serikali ya Tanzania kurudi nchini kwao halafu CHADEMA wanadai sisi siyo Donor Country

Rais wa Burundi amemaliza ziara yake ya siku 3 nchini na kurejea nyumbani kwao akitumia ndege ya serikali ya Tanzania.

Ifike mahali wote tukubaliane kuwa Tanzania ina msaada mkubwa sana kwa ukanda huu wa Afrika mashariki na kati hivyo hata CHADEMA wawe wanainenea mema nchi yetu.

Mungu ibariki Tanzania!
Kamwe haiwezi kutokea kwa unaemtesa kwa mikono yako akakunenea mema. Tujifunze kwa idd Amin aliyekuwa Rais wa Uganda. Wananchi wa uganda waliunga mkono na wengine kwa njia tofauti waliyasaidia majeshi yetu kumuumiza Rais wao au serikali yao, hawakuwa wajinga bali ilisababishwa na dhuruma, mateso, vifo vya wapendwa wao, n.k . Tanzania kama taifa tunalo la kujifunza.
 
Yaani hako kamsaada ka lift ya Ndege,unasema ndio tumekuwa donor country!!!?
Please we wa wapi?umezaliwa masasi,nanyumbu Mtambaswala,au Karagwe kyelwa,murongo boder,au Kahama kalumwa??
Hapa nyumbani kujilisha tu shida,hatuwezi kuzalisha sukari,mafuta yakututosha,tutaweza kusaidia wengine??
Kama ni msaada wa kiulinzi,kijeshi,hatujaanza leo,alifanya Nyerere,tafuta taarifa za kamati ya Ulinzi na usalama chini ya Hashim Mbita,utaelewa,sio hizo porojo alizokuwa anasema shetani wenu Jiwe,kua sie ni donor country
Rais wa Burundi kutumia ndege ya namba moja wa Tanzania ni mkakati tu wa kiusalama uliotumika hapa. Ikumbukwe kuwa miaka ya nyuma Rais wa Burundi na mwenzake wa Rwanda walisafiri katika ndege moja na ndege hiyo ilitunguliwa na waasi na kuanzisha mauaji ya kimbari. Rais Nkirunziza, hayati alipotembelea Tanzania enzi za awamu ya nne, hali ilichafuka huko Burundi ikamlazimu kubaki Tanzania kwa muda na kurejea Burundi kwa njia ya barabara.

Leo kuna Gulfstream imeitangulia ndege yetu ya Rais ambayo ndiyo iliyomchukua Rais wa Burundi tena ikiwa na watu wachache sana. Ujumbe wake utakuwa umetangulia na ile ya kwanza ambayo nadhani ndiyo ya Rais wa Burundi.
 
Acha njoo unaitwa huku!?

Kwa hiyo kumpa mtu lift ya usafiri ni kuwa donor country!!!
So unataka kutuaminisha kuwa Burundi hawana uwezo wa kunua ndege ya rais wao au hawana ndege?
Diplomatic deeds msizichanganye na ujinga wenu wa chato
Ndege ya Rais wanayo tena kwa muda mrefu, ila haitumiki sana.

burundi pre.jpg
 
Bwashe Haya Ni matumizi mabaya ya Ndege zetu, huyo Muha saizi yake ni Bus la Saratoga la Dar - Kigoma
Jiongeze mkuu, iko tofauti kati ya waha na warundi. Waha na wanyarwanda vivyo hivyo!... Unachofanya hapa iwe kwa kujua au makusudi ni "Steriotyping"
 
Rais wa Burundi amemaliza ziara yake ya siku 3 nchini na kurejea nyumbani kwao akitumia ndege ya serikali ya Tanzania.

Ifike mahali wote tukubaliane kuwa Tanzania ina msaada mkubwa sana kwa ukanda huu wa Afrika mashariki na kati hivyo hata CHADEMA wawe wanainenea mema nchi yetu.

Mungu ibariki Tanzania!
Hahahahahah nimekuelewa aisee
 
Ni Ndege inayofanya Safari zake from Dar, Kigoma, Bujumbura, Kigoma, Dar.
Kimsingi huyo Mrundi katumia Ndege ya Abiria Tu wala sio issue
Ni Sawa Sawa na Hangaya alivyoenda US, alivyopanda Emirates Waarabu waanze Kujiita Donor Kantri
 
Sio kimpumu tu, na komoni, na ulanzi na mchujo, ni mzee wa kutagila na fwefwe.

Pichani ni kaka yangu mpendwa, mzee wa ma Heineken johnthebaptist akijiburudisha na Heineken yake.

Kitu cha kijani

View attachment 1985271
Umenikumbusha mbali sana! Ukutaghila ni fwefwe - mrija mmoja wanywaji wengi kwa kupokezana na hakuna kuugua kikohozi, TB wala kuhara. Sijui ilikuwaje, ila walifyonzeana mate. Kwa kujua au kutojua haikufaa.
 
Nyie ccm a
Rais wa Burundi amemaliza ziara yake ya siku 3 nchini na kurejea nyumbani kwao akitumia ndege ya serikali ya Tanzania.

Ifike mahali wote tukubaliane kuwa Tanzania ina msaada mkubwa sana kwa ukanda huu wa Afrika mashariki na kati hivyo hata CHADEMA wawe wanainenea mema nchi yetu.

Mungu ibariki Tanzania!
Acheni kuilinganisha Tanzania na Burundi.
 
Acha njoo unaitwa huku!?

Kwa hiyo kumpa mtu lift ya usafiri ni kuwa donor country!!!
So unataka kutuaminisha kuwa Burundi hawana uwezo wa kunua ndege ya rais wao au hawana ndege?
Diplomatic deeds msizichanganye na ujinga wenu wa chato
Kutumia ndege yetu ni mikakati ya kiusalama tu afike salama kwake bila madhara au kuguswa
 
HAKUNA NCHI DUNIANI ILIYOPATA MAENDELEO CHINI YA CCM ( chama cha mapinduzi ).

naenda kupiga puff ya weed tena I shall come back,,, kuwaeleza kwann ???
 
Rais wa Burundi amemaliza ziara yake ya siku 3 nchini na kurejea nyumbani kwao akitumia ndege ya serikali ya Tanzania.

Ifike mahali wote tukubaliane kuwa Tanzania ina msaada mkubwa sana kwa ukanda huu wa Afrika mashariki na kati hivyo hata CHADEMA wawe wanainenea mema nchi yetu.

Mungu ibariki Tanzania!
Hiyo ndio maana ya kuwa donor country kumbeee.
 
Back
Top Bottom