Bunsen Burner
JF-Expert Member
- Feb 25, 2009
- 909
- 1,099
Huyu Masisi wa Botswana, nafikiri kaja specifically kwa kuwa sasa ndio SADC Chairman, na kaona angalau Rais Samia anaonekana anataka kurudisha diplomasia na nchi zingine...
Toka 2015 hajawahi kukanyaga Rais toka Ulaya na Marekani why?