Rais wa awamu ya 5 akitoka CCM nitahamia Somalia

Rais wa awamu ya 5 akitoka CCM nitahamia Somalia

Pia usisahau kuwa CCM ni Chama cha maajabu wanauwezo wa kujichagua wenyewe,wakajipitisha wenyewe,wakajitangaza washindi wenyewe.

Hata pale walipotangazwa kushindwa,kesho yake mwanangu ukakuta mambo yamepinduka miguu juu kichwa chini kageuzwa mshindi na aliyeshinda kageuzwa mshindwa,haya ndiyo maajabu ya CCM.

Wakati mwingine unaweza ukaenda kwenye kituo cha kupigia Kura ukajipigia Kura mwenyewe(Kama ni mgombea)muda wa kuhesabu Kura ukakuta Kura zote ulizopigiwa na mke wako,Watoto wako na wale ambao unauhakika nao kuwa walikupigia Kura zikiwa zimeyeyuka ndani ya box la Kura.

Cha ajabu zaidi ni pale ambapo utakapo kuta hata Ile Kura yako uliokuwa na uhakika kabisa kuwa umejipigia mwenyewe nayo haipo ndani ya sanduku la Kura.
 
anything can happen

ccm imechoka
ccm imechokwa
 
kuna jamaa zangu wanafanya kazi pale somalia uwasalimie sana...nakuhakikishia ccm hawag'oki maana kwa dhati kabisa hakuna chama cha kuig'oa ccm madarakani..facebook bado haijawa tools ya kuchukua nchi vijijini hamjulikani kabisa
 
Usihangaike hata kuhama ccm ina hali mbaya sana
 
kuna jamaa zangu wanafanya kazi pale somalia uwasalimie sana...nakuhakikishia ccm hawag'oki maana kwa dhati kabisa hakuna chama cha kuig'oa ccm madarakani..facebook bado haijawa tools ya kuchukua nchi vijijini hamjulikani kabisa
Kwani ccm mna hati miliki ya kuongoza daima.
 
Mkuu Salary Slip weka angalizo,IF AND ONLY IF FAIR ELECTION WILL BE THERE.Haya mashetani yanaweza hata kukimbia na maboksi na kuua ovyo ovyo
 
kuna jamaa zangu wanafanya kazi pale somalia uwasalimie sana...nakuhakikishia ccm hawag'oki maana kwa dhati kabisa hakuna chama cha kuig'oa ccm madarakani..facebook bado haijawa tools ya kuchukua nchi vijijini hamjulikani kabisa

Huu useng mueleze mkeo....
 
Hata matokeo Ya serikali Za mitaa umeyaona na hayatakuwa Na mabadiliko sana na matokeo Ya uchaguzi mkuu hivyo Anza kubook ticket yako mapema Ya kwenda Mombasa then Mogadishu!
 
True,
Ref. Makongoro Mahanga, Ukonga!!
Ref.wenyeviti wa CCM kutaka kuapishwa wakati hawajashinda.Ref kauli ya rais Songea kuwa atahakikisha mrithi wake ni CCM by any means necessary
 
Hata matokeo Ya serikali Za mitaa umeyaona na hayatakuwa Na mabadiliko sana na matokeo Ya uchaguzi mkuu hivyo Anza kubook ticket yako mapema Ya kwenda Mombasa then Mogadishu!

Unamaana kuwa CCM watashinda kwa mapingamizi?ila muwe wa kweli kwenye vijiji hukohuko mnakosema Kuna baadhi ya maeneo CCM wamepigwa kipigo cha mbwa mwizi hadi huruma.
 
Mkuu uza kilicho chako anza mdogo mdogo hata kwa mguu utuachie nchi yetu.
 
Raisi wa awamu ya 5 ni mzalendo Dr Slaa hao wengine ni wasindikizaji tuu ccm ina hali mbaya sana inaweza kufa muda wowote kabla hata uchaguzi.

We unataka Kapteni John Komba aingie msituni!? Alishaweka wazi kuwa ataingia msituni!
 
Hata matokeo Ya serikali Za mitaa umeyaona na hayatakuwa Na mabadiliko sana na matokeo Ya uchaguzi mkuu hivyo Anza kubook ticket yako mapema Ya kwenda Mombasa then Mogadishu!

Huoni hata aibu wakati mmebaka demokrasia!!
 
FYI... Hakuna nchi iliyo na uhuru wa kumchagua Rais wanayemtaka hasa katika kipindi hiki.

Rais yeyote yule huchaguliwa toka nje na kusimikwa toka juu kwa gharama yeyote ile, iwe ni umwagaji damu, iwe ni kupindishwa matokeo n.k.

Hivyo basi kama chunguza Mgombea ambaye atakuwa na influence toka nje ndiye atakayekuwa Rais.

Hayo yote unayolalamikia i.e Escrow, Twiga n.k. Yana baraka toka hukoo unadhani hao wawekezaji hawaoni na kila siku ndio kwanza wanamimina bilions of money TZ?? Juzi kati katoka hapa Rais wa Germany. Unahisi hafahamu sakata la Escrow na ufisadi uliokithiri kila kona???

Mimi sio mwanachama wa chama chochote nchini na wala sijawahi kuwa na sitawahi kuwa mwanachama wa chama chochote kile. Sijawahi kupiga kura na wala sitarajii kupiga kura kwani naelewa ni nini kinaendelea nyuma ya pazia.

Utahangaika saaana lakini kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji....

Afadhali umekwishapata raha yako! Kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa!
 
Back
Top Bottom