RockSpider
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 6,859
- 2,762
Mambo mengine inabidi tuangalie kwenye familia, Ikiwa baba ni Mchapakazi, mwenye maadili halafu mama ni mzembe Fulani = Nyumba inaweza kuwa na maendeleo japo kwa kasi ndogo! Ikiwa Baba ni mzururaji na Mama ni kulia lia tu hana maamuzi Zaidi ya mipasho na kwenda kwa Waganga = hapo usitegemee maendeleo Zaidi ya kuwa na watoto vibaka na Malaya pori kibao!!! Miaka ya Mwanzo ya JK nchi ilikuwa inasonga mbele kwakuwa Lowassa alikuwa amesimama kidete kuhakikisha UDOM inajengwa, Shule za Kata zinajengwa, Mradi wa KASHWASA inakamilika, Halmashauri kunakuwa na adabu... A moment Lowassa alipoachia ngazi kutokana na Deal la USA via PREZO; Taifa likapewa MAma mwenye kulia lia, mwenye kuamini ndumba Zaidi kuliko utendaji! Matokeo yake kila mtu anajua! Imefikia mahala wanazusha hadi Panya RD wakati wazamiaji wa Kwenye Calvert wanajulikana... Pinda ameshindwa kuficha aibu ya boss wake ...