Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,901
- 20,416
Wewe umesema unakwenda somalia pachimbike wapi tena kweli bangi mbaya.Safari hii patachimbika na damu kumwagika.
Tusijidanganye,hakuna amani pasiko haki.
Wewe umesema unakwenda somalia pachimbike wapi tena kweli bangi mbaya.Safari hii patachimbika na damu kumwagika.
Tusijidanganye,hakuna amani pasiko haki.
Wee weeee.. umzima kweli wewe
Wewe umesema unakwenda somalia pachimbike wapi tena kweli bangi mbaya.
Mbona hata hapa bongo mabomu ni kila siku?Kwenye mikutano ya kisiasa,makanisani na huku waziri mkuu kasema "tupigwe tu".Hata kama. Hiv ulishawahi kukaa somalia hata leave mda wa siku 7?
haa haa mko tayari? Mko tayari? Kile walichopata kina lipumba kitakuwa mara 1000 yake! Chezea ccm na mafisadi ww?Safari hii patachimbika na damu kumwagika.
Tusijidanganye,hakuna amani pasiko haki.
haa haa, mkuu mwambie atafute mtaa wa alshababu mapema.Anza kutafuta mtaa Somalia dadadeki!
kwa wizi, rushwa na hata kubebwa na dola.CCM ni nambari one
haa haa, teh teh.Wewe umesema unakwenda somalia pachimbike wapi tena kweli bangi mbaya.
kwa hiyo ww hutaki kubaki kuipigania nchi yako?Hatuwezi kwenda wote; kuna watakobaki kupigania nchi yao.