Rais wa Argentina ashangaza dunia

Ah ah rais wetu wa sanaa tumuongezee muda tu naamin kwa hizi singo 2 lazima tuchukue tuzo za BET tumeshafika kwenye w-o-f
 
Ameishangazaje dunia? Kila kitu ni taste na preference mkuu!!

ujinga huu, unalazimisha mtu apende unachopenda wewe? ni wapi hujamuolewa wakati maelezo yake yako clear kabisa.

Sasa kam hana hobbie na mpira!!!!!

wakuu mnashindwa kuelewa hapo yani timu yako ya taifa nawe ni rais inapiga hatua ya kufika fainali yani Rais kama vile huna habari wala hujali? hii mnaona ni sawa? tena mchezo wenye wapenzi wengi duniani na wala sio mchezo wa mbio za kuku hujui chochote kinachoendelea kuhusu timu ya taifa?

Ksiasa hii ni symbolic ya Uzembe wa kutokufuatilia nchi yako na wananchi wako! Yaani hata wasaidizi wake nao ni wavivu hata kama Rais sio mpenzi wa mpira yani hata hawa-m-brief??!! Wachunguzi wansema imemtia dosari sema tena ndio awamu yake ya mwisho hagombei tena hivyo hata kama imemuharibia kisiasa, hawezi gombea tena.
 
Mie hata sijachangaa maana kila mtu ana kitu ambacho anakipenda

Kwa mtu binafsi hakuna shida; ila kwa kiongozi wa nchi ni vizuri ukashiriki au kuhamasisha maswala ambayo yanaunganisha wananchi wako!
 

S kwel..hv mara ngap chaneta walwah kushnda, rais alfanya nn kam kuwapongeza au kutoa mchango?? Hii ypte n kutokuwa na mapenz na netball.but hao taifa stars hawafany la maana lakn wanaitwa ikulu na sut juu kushonewa.its all abt hobby buana
 
ujinga huu, unalazimisha mtu apende unachopenda wewe? ni wapi hujamuolewa wakati maelezo yake yako clear kabisa.
Rais ni taasisi, kama marais wote wangefuata waanvyopenda ingekuwa shida sana katika uongozi.

Rais anashiriki mambo ya kijamii, michezo, wakati mwingine hata futari ya pamoja akiwa kama taasisi na sio mtu binafsi. Huyu kashangaza dunia kwa kweli.
 
rais kilaza! .......... siku tanzania kukiwa na raisi mwanamke, nahamia somalia kw mkopo.
 
umbea, unafiki na uongo, Rais wa Argentina aliipokea timu yake airport

 
huyo anapaswa ajiuzuru kabla ya muda wake ukiwa kama rais wa nchi upende usipende lazima uwe karibu na soccer kwa maana mpira ni ajira hao vijana wake wanaocheza ulaya pesa wanazopata huwa wanazitupa baharini?
 

Je kama Argentina wangechukua kikombe angeenda kuwapokea uwanjani?Inawakuwaje rais wa nchi yenye washabiki wengi wa mpira kama Argentina rais anawavunja moyo watu wake?

Coach Alejandro Sabella led the team off the plane and onto three buses that took them to be welcomed by President Cristina Kirchner at the nearby offices of the Argentine Football Association, an event that was closed to the media.

fifa.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…