GEBA2013
JF-Expert Member
- Feb 22, 2014
- 5,966
- 8,502
Rais wa Argentina mama Christina Ferdinadi alipoulizwa anajisikiaje nchi yake kushndwa kuchukua kombe la dunia,alijibu YEYE SIYO MSHABIKI WA MPIRA.
Akaulizwa kuhusu MESI kuchukua mchezaji bora wadunia, alijibu HAKUNA MECHI ALIYOWAHI KUANGALIA HATA HIYO FAINALI YA ARGENTINA NA GERMANY SIJAANGALIA KWAHIYO SIJUI LOLOTE.
Awali rais huyo alialikwa yeye pamoja na BI ANGEL MIKEL CHANCELOR wa Ujerumani walialikwa na rais wa BRAZIL kuhudhuria fainali,alimjibu HAWEZI KUJA KUANGALIA FAINALI kwasababu ANAUMWA KOO.
BI ANGEL MIKEL alihudhuria fainali hyo na nchi kuibuka na ushndi.
Je kama Argentina wangechukua kikombe angeenda kuwapokea uwanjani?Inawakuwaje rais wa nchi yenye washabiki wengi wa mpira kama Argentina rais anawavunja moyo watu wake?