Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,269
- 675
GreatThinkers,
MBWA ni staili ya kiuongozi ambayo niliisoma nikiwa nasoma MBA ni Management style
inayomtaka Manager au kiongozi asiwe wa ofisini peke yake bali anayejishughulisha kwa kwenda sehemu mbalimbali za kazi na Ku-Observe
kazi zinazofanywa na Subordinates wake.
Shortly "MBWA" Stands for "Managing By Waliking Around"
Kiongozi wa aina hii huwa anajiamini na zaidi huwa anaifahamu kazi, ni mtu wa msaada kwa walio chini yake na yuko tayari kwa kutoa
msaada pale wanapokwama.
hapo sijaelewa