Whitesmith
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 386
- 517
Ni mara ya pili sasa nakuja DSM bado nakutana na amri tata ya Mkuu wa Mkoa wa DSM ya katazo la unywaji wa hadi saa kumi jioni.
Kwakweli wenye kufaidi hili katazo ni Polisi kwani wamekuwa wakitesa wananchi hasa siku ya Ijumaa kwani wakikuchukua usipotoa laki mmoja utakaa hadi Jumatatu.Kwakweli tumekuwa wakimbizi.
Swali kutoka kitaa: Je, hoteli kubwa za DSM(Kilimanjaro Hotel) wanauza kuanzia saa ngapi? Hivyo kwanini sisi wafanyabiashara wa chini tupangiwe muda?