Rais, tengua hii amri ya Makonda kuhusu unywaji pombe, inatesa wakazi wa Dar

Whitesmith

JF-Expert Member
Aug 12, 2017
386
517
Ni mara ya pili sasa nakuja DSM bado nakutana na amri tata ya Mkuu wa Mkoa wa DSM ya katazo la unywaji wa hadi saa kumi jioni.

Kwakweli wenye kufaidi hili katazo ni Polisi kwani wamekuwa wakitesa wananchi hasa siku ya Ijumaa kwani wakikuchukua usipotoa laki mmoja utakaa hadi Jumatatu.Kwakweli tumekuwa wakimbizi.

Swali kutoka kitaa: Je, hoteli kubwa za DSM(Kilimanjaro Hotel) wanauza kuanzia saa ngapi? Hivyo kwanini sisi wafanyabiashara wa chini tupangiwe muda?
 
Pale mshamba anaposhika hatamu. Wakati majiji ulimwenguni hayalali yeye analazimisha bar zifunguliwe saa kumi. Halafu anawaza eti dar liwe jiji la kitalii huku huduma anaziwekea limitation.
Na hili katazo limewaadhiri sana breweries, kumbuka Dar ni soko kubwa sana more than 50%
 
Ni mara ya pili sasa nakuja DSM bado nakutana na amri tata ya Mkuu wa Mkoa wa DSM ya katazo la unywaji wa hadi saa kumi jioni.

Kwakweli wenye kufaidi hili katazo ni Polisi kwani wamekuwa wakitesa wananchi hasa siku ya Ijumaa kwani wakikuchukua usipotoa laki mmoja utakaa hadi Jumatatu.Kwakweli tumekuwa wakimbizi.

Swali kutoka kitaa: Je, hoteli kubwa za DSM(Kilimanjaro Hotel) wanauza kuanzia saa ngapi? Hivyo kwanini sisi wafanyabiashara wa chini tupangiwe muda?
Kalewa sifa DBA
 
Mkuu bar siku hizi wamebuni zile grass hazioneshi so wanakumiminia humo unaendelea kulipa kodi kama kawaida unajifanya unakunywa juisi nimeona bar nyingi sana
Sasa kwann tuishi km wakimbizi? Hili swala linanikera sana, polisi badala wahangaike na mambo ya msingi
 
Ni mara ya pili sasa nakuja DSM bado nakutana na amri tata ya Mkuu wa Mkoa wa DSM ya katazo la unywaji wa hadi saa kumi jioni.

Kwakweli wenye kufaidi hili katazo ni Polisi kwani wamekuwa wakitesa wananchi hasa siku ya Ijumaa kwani wakikuchukua usipotoa laki mmoja utakaa hadi Jumatatu.Kwakweli tumekuwa wakimbizi.

Swali kutoka kitaa: Je, hoteli kubwa za DSM(Kilimanjaro Hotel) wanauza kuanzia saa ngapi? Hivyo kwanini sisi wafanyabiashara wa chini tupangiwe muda?
HAPO KWENYE HOTEL ZA KITALII NAFIKIRI HATA KODI YAO NI KUBWA ZAIDI TOFAUTI NA HIZO BAR ZA KAWAIDA.
 
Tatizo watanzania maisha yenu mmeyafanya mitandaoni sana mnapenda kulalamikia mitandaoni..jambo kama hili linalowakera wannchi kwa nchi za wenzetu wangeshachukua hatua physically sasa watanzania ni waoga sana mnashindwa hata kuunda umoja wa wanywaji mdai hiyo haki yenu?
 
Hizo amri za kushamba zilitolewa na jiwe nchi nzima, hata huku Tunduru hali ni ile ile.
Hakuna biashara inafanyika, lakini mwisho wa mwaka kodi iko pale pale!
Wewe jiwe utakufa lini mbona umetuingiza shimoni?
 
Pale mshamba anaposhika hatamu. Wakati majiji ulimwenguni hayalali yeye analazimisha bar zifunguliwe saa kumi. Halafu anawaza eti dar liwe jiji la kitalii huku huduma anaziwekea limitation.
Dar kila mtu pia ana muda wake wa kufanya kazi/biashara na kula bata. Why saa kumi wakati kodi wanazitaka???
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom