Rais sio Mungu naye huwa anakosea

Rais ni taasisi!
Rais ni Samia! Urais hauna ubia na mtu ye yote. Hakuna kikao cha taasisi ya Rais ambacho Rais anakuwa mwenyekiti wake! Rais ni alfa na omega kwa mujibu wa katiba ya nchi hii! Ushauri wo wote kwa Rais anaweza akaupokea na kuufanyia kazi au akaukataa na kuutupilia mbali!

Hivyo lawama zote kwa Samia!
 
Wakuu, Mungu mwenyewe alijutia wakati wa Nuhu. Badae akajiapia hata angamiza tena wanadamu.

Ndiyo Mana akaweka Agano la rainbow kwaajili ya kuzuia madhara ya aina hiyo.

Labda angesema hivi:-
Katiba yetu, Rais akifanya ubaya wowote ule hashitakiwi
Hapo ningeelewa.
......
Mfano Rais katika teuzi anaweza kukosea Kama ilivyoonekana kwa Mwesiga na Azal akalekebisha! Huku Ndiko kukosea kwenyewe. Mimi Naamini Rais sio Mungu, anapokosea mnaweza kuona anapojisahihisha Ni Siri ya ndani japo anarekebisha.
 
Kwa katiba yetu ambayo rais ni semi god hivyo hakosei
Mimi nadhani kuna mama Yuko vizuri, Ila Kuna watu huwa wanahisi nafasi za teuzi Ni Mali yao, ko Magu hakufanya wanayotaka wanahisi Sasa Ni muda wao!
Tunanadi Tanzania Ni yetu sote lakini so kweli kwenye uhalisia,,,
Mimi Sina shida na teuzi za mama na Rais wetu mpendwa, Nina shida na Aina ya teuzi anayofanya.
Kweli DED amepata hati chafu, chafu alafu anakuwa RAS??
RAS ni ubongo wa mkoa , Kama wilaya ilimshinda mkoa ataweza vipi??
Unajua wapinzani wanaunga mkono serikali sio kwasababu wamekosea hapana Kuna mahala wameona pa kushikilia na kwayo itakuwa ajenda yao,,,
Let's count days,,,kwamba Upinzani wakati wa kampeni watamsifia mama?
 
Well said tayari madaraka yameanza kulevya mtu kama yule nae alianza hivihivi
Screenshot_20210528-225202.png
 
Sasa ndiyo yeye na gange lake watuibie tena mchana kweupe huku wakituaminisha kuwa wao tuu ndiyo wateteziwetu??
 
KIA ni mjini

Kipawa ni mjini?
Acha ujinga, Kia waliangalia katikati ya Moshi na Arusha,
Jiulize kutoka Moshi hadi Kia ni km ngapi?
Kutoka Arusha hadi Kia km ngapi?
Na kutoka Chato Hadi Geita km ngapi?
Kutoka Bukoba Hadi Chato km ngapi?

Pia Kia walianhalia filusa zilizopo,
Tofauti na Geita au Chato,poli lenu la wanyama Buligi Chato,halina wanyana zaidi ya Nyani na ngedele.
 
Rais ni Samia! Urais hauna ubia na mtu ye yote. Hakuna kikao cha taasisi ya Rais ambacho Rais anakuwa mwenyekiti wake! Rais ni alfa na omega kwa mujibu wa katiba ya nchi hii! Ushauri wo wote kwa Rais anaweza akaupokea na kuufanyia kazi au akaukataa na kuutupilia mbali!

Hivyo lawama zote kwa Samia!
Umemaliza kila kitu mkuu wangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom