Rais Samia Suluhu ni chaguo la Mungu

MANKA MUSA

JF-Expert Member
Jul 9, 2014
922
1,093
RAIS SAMIA SULUHU NI CHAGUO LA MUNGU.

Ndio, Rais Samia Suluuh ni chaguo la Mungu. Mungu huwa akikuchagua hutumii nguvu kwenye kufanikisha mambo yako, waumini wa dini zote watakubaliana na mimi kwenye hili, watu wa Mungu kuna namna Mungu anawainua zaidi na kushangaza matarajio ya wengi.

Zipo sababu 5 kubwa za kusema Samia Suluhu ni chaguo la Mungu.

1. Mikutano Yake
Rais Samia Suluhu afanyapo ziara zake makundi makubwa ya watu kuliko kawaida kufika kwenye mikutano yake. Hakuna nguvu ya zaidi kama kutumia Helkopta, bali yeye kuna ule upendo wa asili watu wako nao juu ya Rais Samia Suluhu.

2. Utulivu na Hekima
Soma Historia za dini zote, utakuta kwamba watu wa Mungu huwa watulivu kwenye matendo yao na mawazo yao, hiki ni kipawa ambacho kiko dhahiri hakihitaji kuongelewa sana, kila mtu ajua kwamba Rais Samia ni mtulivu. Mzee wangu Kikwete aliwahi kusadiki hili pia kwamba, moja ya kigezo kilichoifanya kamati kuu kumpitisha Samia Suluhu kwa Mgombea mwenza na JPM ni utulivu wake, ni sifa ya kwanza ya kiongozi.

3. Kusamehe na Kusahau
Rais Samia Suluhu si mtu wa vinyongo wala visasi, kwenye nafsi safi kama yake mithili ya theluji hakuna nafasi ya kuhifadhi chuki wa uadui ndani yake. Alipoingia madarakani, Magazeti na vyombo vya habari vyote vilivyofungwa kiutata na mtangulizi wake alivifungulia, wakimbizi wote wa kisiasa wakarudi nyumbani bila masharti, wengine wakatolewa gerezani na wengine kulipwa malimbikizo ya fedha zao. Mnataka nini?

4. Kutanguliza maslahi ya watu mbele
Maslahi ya watu wake ni muhimu zaidi ya yake. Amedhihirisha hilo mara nyingi sana. Kulikuwa na uhaba wa madarasa 15,000, yeye akajenga 23,000 ndani ya miaka 2, amejenga ICU 180, EMD 78, majengo ya Mama na Matano katika hospitali za kanda na rufaa 5 nchi nzima. X-Ray 199, nchi haikuwa kuwa na huduma za kupasua ubongo na kifua bila kukifungua, ila Samia Suluhu ameleta hizi zote hapa nchini watanzania sasa hawana haja ya kwenda nje tena. Mpewe nini?

5. Kudumisha na Majirani
Mpende jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako, Rais Samia Suluhu kupitia diplomasia ya uchumi anayaisha maneno haya kikamilifu kabisa. Wakati wa mtangulizi wake, nchi ilikuwa na matatizo na majirani zetu mfano Kenya na mataifa mengine ya nje ya Afrika. Lakini tazama Samia Suluhu alichokifanya, yeye amejenga daraja kuunganisha watu badala ya kubomoa barabara. Hivi sasa Tanzania inanufaika zaidi kiuchumi na uhusiano mwema na mataifa mengine ya njema.

20230920_135430.jpg
 
anzania inanufaika zaidi kiuchumi na uhusiano mwema na mataifa mengine ya njema.View attachment 2755961
Hata shetani ni mungu kwa wale wamuabuduo.
 
RAIS SAMIA SULUHU NI CHAGUO LA MUNGU.

Ndio, Rais Samia Suluuh ni chaguo la Mungu. Mungu huwa akikuchagua hutumii nguvu kwenye kufanikisha mambo yako, waumini wa dini zote watakubaliana na mimi kwenye hili, watu wa Mungu kuna namna Mungu anawainua zaidi na kushangaza matarajio ya wengi.

ania inanufaika zaidi kiuchumi na uhusiano mwema na mataifa mengine ya njema.View attachment 2755961
Nikiangalia tatizo la umeme lilivyo, halafu nisikie unaongea huu upuuzi nachoka kabisa.
 
RAIS SAMIA SULUHU NI CHAGUO LA MUNGU.

Ndio, Rais Samia Suluuh ni chaguo la Mungu. Mungu huwa akikuchagua hutumii nguvu kwenye kufanikisha mambo yako, waumini wa dini zote watakubaliana na mimi kwenye hili, watu wa Mungu kuna namna Mungu anawainua zaidi na

Peleka upumbavu wako huko. Mnakwaza sana, sasa namba ya simu iko wapi? Hemu rudi haraka.
 
RAIS SAMIA SULUHU NI CHAGUO LA MUNGU.

Ndio, Rais Samia Suluuh ni chaguo la Mungu. Mungu huwa akikuchagua hutumii nguvu kwenye kufanikisha mambo yako, waumini wa dini zote watakubaliana na mimi kwenye hili, watu wa Mungu kuna namna Mungu anawainua zaidi na kushangaza matarajio ya wengi.

inanufaika zaidi kiuchumi na uhusiano mwema na mataifa mengine ya njema.View attachment 2755961
Sio chaguo la Mungu na ndio maana kila kitu ni shida. Nchi imelaanika na na uongozi umefitinika.
 
RAIS SAMIA SULUHU NI CHAGUO LA MUNGU.

Ndio, Rais Samia Suluuh ni chaguo la Mungu. Mungu huwa akikuchagua hutumii nguvu kwenye kufanikisha mambo yako, waumini wa dini zote watakubaliana na mimi kwenye hili, watu wa Mungu kuna namna Mungu anawainua zaidi na kushangaza matarajio ya wengi.

Zipo sababu 5 kubwa za kusema Samia Suluhu ni chaguo la Mungu.

1. Mikutano Yake
Ungekuwa karibu yangu ningekuzaba makofi!
 
RAIS SAMIA SULUHU NI CHAGUO LA MUNGU.

Ndio, Rais Samia Suluuh ni chaguo la Mungu. Mungu huwa akikuchagua hutumii nguvu kwenye kufanikisha mambo yako, waumini wa dini zote watakubaliana na mimi kwenye hili, watu wa Mungu kuna namna Mungu anawainua zaidi na kushangaza matarajio ya wengi.

Zipo sababu 5 kubwa za kusema Samia Suluhu ni chaguo la Mungu.

1. Mikutano Yake
Rais Samia Suluhu afanyapo ziara zake makundi makubwa ya watu kuliko kawaida kufika kwenye mikutano yake. Hakuna nguvu ya zaidi kama kutumia Helkopta, bali yeye kuna ule upendo wa asili watu wako nao juu ya Rais Samia Suluhu.

2. Utulivu na Hekima
Soma Historia za dini zote, utakuta kwamba watu wa Mungu huwa watulivu kwenye matendo yao na mawazo yao, hiki ni kipawa ambacho kiko dhahiri hakihitaji kuongelewa sana, kila mtu ajua kwamba Rais Samia ni mtulivu. Mzee wangu Kikwete aliwahi kusadiki hili pia kwamba, moja ya kigezo kilichoifanya kamati kuu kumpitisha Samia Suluhu kwa Mgombea mwenza na JPM ni utulivu wake, ni sifa ya kwanza ya kiongozi.

3. Kusamehe na Kusahau
Rais Samia Suluhu si mtu wa vinyongo wala visasi, kwenye nafsi safi kama yake mithili ya theluji hakuna nafasi ya kuhifadhi chuki wa uadui ndani yake. Alipoingia madarakani, Magazeti na vyombo vya habari vyote vilivyofungwa kiutata na mtangulizi wake alivifungulia, wakimbizi wote wa kisiasa wakarudi nyumbani bila masharti, wengine wakatolewa gerezani na wengine kulipwa malimbikizo ya fedha zao. Mnataka nini?

4. Kutanguliza maslahi ya watu mbele
Maslahi ya watu wake ni muhimu zaidi ya yake. Amedhihirisha hilo mara nyingi sana. Kulikuwa na uhaba wa madarasa 15,000, yeye akajenga 23,000 ndani ya miaka 2, amejenga ICU 180, EMD 78, majengo ya Mama na Matano katika hospitali za kanda na rufaa 5 nchi nzima. X-Ray 199, nchi haikuwa kuwa na huduma za kupasua ubongo na kifua bila kukifungua, ila Samia Suluhu ameleta hizi zote hapa nchini watanzania sasa hawana haja ya kwenda nje tena. Mpewe nini?

5. Kudumisha na Majirani
Mpende jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako, Rais Samia Suluhu kupitia diplomasia ya uchumi anayaisha maneno haya kikamilifu kabisa. Wakati wa mtangulizi wake, nchi ilikuwa na matatizo na majirani zetu mfano Kenya na mataifa mengine ya nje ya Afrika. Lakini tazama Samia Suluhu alichokifanya, yeye amejenga daraja kuunganisha watu badala ya kubomoa barabara. Hivi sasa Tanzania inanufaika zaidi kiuchumi na uhusiano mwema na mataifa mengine ya njema.

View attachment 2755961
Kwa hiyo tukusaidie nini sasa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom