Rais Samia yuko wapi kwa sasa?

Rais Samia yuko wapi kwa sasa?

Kuna kitu sijaelewa

--- Kila ukipita kwenye post za watu ( hata mimi nimeuliza ) wanaouliza kuhusu Samia yuko wapi, unakutana na Team ya Waziri Rajabu inatoa matusi ya nguoni kwa wanaouliza Rais wa Nchi Yuko wapi

--- Kwa kipi rahisi? Kuajili Team kutukana watu mtandaoni au Samia kujitokeza tu na kupoza hii hali ambayo imeendelea kwa wiki mbili sasa?

-- Watu wanahoji sababu wanajua sheria za nchi zinasemaje, Lakini pia haiwezekana Rais wa Nchi akaondoka na kwenda nchi kama Marekani kisha akapotea tu kama upepo na kusiwe na Mswali

-- Kwa nini Gharama kubwa inatumika kutuma watu kutukana badala ya kuja na HOJA

Hii inaacha maswali makubwa zaidi, sababu haiwezekana serikali ikatumia gharama kubwa kulipa wahuni badala badala ya ku address suala muhimu la Samia yuko wapi

Mwisho serikali inatakiwa kujifunza wakati wa Magufuli alipopotea serikali ilikuja kwa namna inavyokuja sasa na kuna baadhi ya watu walikamatwa mwisho wa siku tukamzika Magufuli, Mpaka leo serikali imekaa kimya awakuomba radhi

Samia YUKO wapi, hii ndioView attachment 3148632 hoja ijibiwe
Rais yupo salama, ali tweet na kutoa pole msiba wa Mafuru. Wakati mwingine Rais anahitaji kupumzika na familia.
 
Bila shaka ni wazima wa afya njema?!

Napenda kujua kwa sasa alipo Saisi mama Samia, yupo cuba bado au amerudi Tanzania?

Kikatiba nina haki kujua Rais alipo. Mnao juu taarifa tafadhali tuambieni.

Mungu ibariki Tanzania.

By mwinjilist wenu Gabeji
Ilitokea kwanza Makamu wa Rais, hakuonekana kwa muda hadharani mengi yakazungumzwa, akatokea hadharani yu buheri wa afya, uvumi, tetesi, na minong'ono yote ikatulia.

Ikaja zamu ya Makonda, akapotea majukwaani kwa muda. Watu wakatema nyongo, na hata wengine lumzushia taarifa za kifo. Akarudi kimya kimya ofisi, huyoo anapiga kazi za kama kawa..

Sasa ni zamu ya Rais wetu. Tabiri na ramli ziaanza kupikwa juu yake kila uchwao. Wasaidizi wake ni lazima watoe sahihi juu yake ama afya yake. Hii ndiyo njia sahihi ya kuzuia uzishi wowote ule juu yake.
 
Yaani wakristo wanafurahia uzushi kweli, hata sijui kwanini,

Hivi kwanini wakristo mnafurahia huu uzushi? Au kwa kuwa SAMIA ni muislamu?
Wewe umejuaje dini au dhehebu la kila mwana JF. Yule sheikh aliyesema Kiongozi wa nchi hafai kuwa mwanamke ulimuona ? Alikuwa mkristo au muislam mwenzako ? Hayo hayo maneno ya sheikh yangetamkwa na mkristo ungetukana matusi mazito. Usikimbilie udini. Wewe ndiye mdini mkubwa. Ni kosa kumzushia Rais wa nchi kifo, bila kujali imani, wala itikadi za vyama.
 
Kama ni kosa sasa kwanini mnamzushia,
Wacha kumzushia yaani mnatamani kabisa asiwepo
Why?
 
Wewe umejuaje dini au dhehebu la kila mwana JF. Yule sheikh aliyesema Kiongozi wa nchi hafai kuwa mwanamke ulimuona ? Alikuwa mkristo au muislam mwenzako ? Hayo hayo maneno ya sheikh yangetamkwa na mkristo ungetukana matusi mazito. Usikimbilie udini. Wewe ndiye mdini mkubwa. Ni kosa kumzushia Rais wa nchi kifo, bila kujali imani, wala itikadi za vyama.
Yaanin tuseme wewe hujui madhehebu na dini za wana jf humu?
Mbona zipo wazi tu
Umejuaje kama mimi ni muislam
 
Screenshot_20241110_214132_Gallery.jpg
 
Bila shaka ni wazima wa afya njema?!

Napenda kujua kwa sasa alipo Saisi mama Samia, yupo cuba bado au amerudi Tanzania?

Kikatiba nina haki kujua Rais alipo. Mnao juu taarifa tafadhali tuambieni.

Mungu ibariki Tanzania.

By mwinjilist wenu Gabeji
Yupo salama kabisa anaendelea vizuri kabisa na majukumu
 
Yaanin tuseme wewe hujui madhehebu na dini za wana jf humu?
Mbona zipo wazi tu
Umejuaje kama mimi ni muislam
Sikujiunga jf kwa kigezo cha dini. Hainihusu hiyo inakuhusu mwenyewe. Acha udini. Rais ni wa Watanzania wote, wapagani, wabudha, wahindu, WAKRISTO waislam nk
 
Mama Mitano tena, na TUNATOA FOMU MOJA TU...🤣🤣🤣😀😀😀🙏🙏

Je Unafikiri hiyo itatenda haki. ?!
Je haitaonekana kama udhalimu. ?!
Je haitakuwa ni chukizo machoni pa Mwenyezi Mungu. ?’
Kwani hamjajifunza tu ?
Maana kuna jamaa aliwahi kufanya hivyo na je Mungu akaingiliaje ??
Je yuko wapi sasa ??
 
Bila shaka ni wazima wa afya njema?!

Napenda kujua kwa sasa alipo Saisi mama Samia, yupo cuba bado au amerudi Tanzania?

Kikatiba nina haki kujua Rais alipo. Mnao juu taarifa tafadhali tuambieni.

Mungu ibariki Tanzania.

By mwinjilist wenu Gabeji
Hata makamu wa raisi alizushiwa.
Mwisho wa siku wote wakaumbuka.
Hamjifunzi?????
 
Back
Top Bottom