Rais Samia yuko wapi kwa sasa?

Rais Samia yuko wapi kwa sasa?

Juzi tu alikua CUBA.

Atarudi akimaliza ziara yake.
Ila Waziri Mchangarawe amelitupukiza Taifa kwenye chuki kubwa sana.

Waziri Mchangarawe ni adui wa haki Duniani kote kama alivyo shetani.

Kila dua anapaswa kutajwa na kulaaniwa sambamba na sheitwani.

unasoma jf ipi, mbona uzi upo?

Kumbe ?!
Ngoja niangalie vizuri @ Mwaya.
🙏😇
 
Bila shaka ni wazima wa afya njema?!

Napenda kujua kwa sasa alipo Saisi mama Samia, yupo cuba bado au amerudi Tanzania?

Kikatiba nina haki kujua Rais alipo. Mnao juu taarifa tafadhali tuambieni.

Mungu ibariki Tanzania.

By mwinjilist wenu Gabeji
Kila akisaifiri mnapiga kelele

Asiposafiri mnapiga kelele
 
Bila shaka ni wazima wa afya njema?!

Napenda kujua kwa sasa alipo Saisi mama Samia, yupo cuba bado au amerudi Tanzania?

Kikatiba nina haki kujua Rais alipo. Mnao juu taarifa tafadhali tuambieni.

Mungu ibariki Tanzania.

By mwinjilist wenu Gabeji
Mama Mitano tena, na TUNATOA FOMU MOJA TU...🤣🤣🤣😀😀😀🙏🙏
 
Back
Top Bottom