Rais Samia yuko wapi kwa sasa?

Rais Samia yuko wapi kwa sasa?

Bila shaka ni wazima wa afya njema?!

Napenda kujua kwa sasa alipo Saisi mama Samia, yupo cuba bado au amerudi Tanzania?

Kikatiba nina haki kujua Rais alipo. Mnao juu taarifa tafadhali tuambieni.

Mungu ibariki Tanzania.

By mwinjilist wenu Gabeji
Jamani acheni hizo basi. Huu uchuro sio. Litaitwa Taifa la kuombea mabaya Viongozi wao. Hata miaka minne haijafika mnaulizia mwingine tena.
 
Bila shaka ni wazima wa afya njema?!

Napenda kujua kwa sasa alipo Saisi mama Samia, yupo cuba bado au amerudi Tanzania?

Kikatiba nina haki kujua Rais alipo. Mnao juu taarifa tafadhali tuambieni.

Mungu ibariki Tanzania.

By mwinjilist wenu GabejMM
Bila shaka ni wazima wa afya njema?!

Napenda kujua kwa sasa alipo Saisi mama Samia, yupo cuba bado au amerudi Tanzania?

Kikatiba nina haki kujua Rais alipo. Mnao juu taarifa tafadhali tuambieni.

Mungu ibariki Tanzania.

By mwinjilist wenu Gabeji
Anachapa kazi rejea kauli ya Mh wa Ruangwa.
 
Bila shaka ni wazima wa afya njema?!

Napenda kujua kwa sasa alipo Saisi mama Samia, yupo cuba bado au amerudi Tanzania?

Kikatiba nina haki kujua Rais alipo. Mnao juu taarifa tafadhali tuambieni.

Mungu ibariki Tanzania.

By mwinjilist wenu Gabeji
Mara ya kwanza alipo potea hivyo, aliibukia kwenye jengo refu duniani. Na unajuwa kilicho fuata baada ya hapo. Bandari za Tanganyika zilinadiwa bila sisi kujuwa!

Sasa subiri, safari hiii anaandaa makubwa zaidi baada ya Waziri wake wa TAMISEMI kumpitisha aendelee kwenye nafasi hiyo 2025.
 
Kuna kitu sijaelewa

--- Kila ukipita kwenye post za watu ( hata mimi nimeuliza ) wanaouliza kuhusu Samia yuko wapi, unakutana na Team ya Waziri Rajabu inatoa matusi ya nguoni kwa wanaouliza Rais wa Nchi Yuko wapi

--- Kwa kipi rahisi? Kuajili Team kutukana watu mtandaoni au Samia kujitokeza tu na kupoza hii hali ambayo imeendelea kwa wiki mbili sasa?

-- Watu wanahoji sababu wanajua sheria za nchi zinasemaje, Lakini pia haiwezekana Rais wa Nchi akaondoka na kwenda nchi kama Marekani kisha akapotea tu kama upepo na kusiwe na Mswali

-- Kwa nini Gharama kubwa inatumika kutuma watu kutukana badala ya kuja na HOJA

Hii inaacha maswali makubwa zaidi, sababu haiwezekana serikali ikatumia gharama kubwa kulipa wahuni badala badala ya ku address suala muhimu la Samia yuko wapi

Mwisho serikali inatakiwa kujifunza wakati wa Magufuli alipopotea serikali ilikuja kwa namna inavyokuja sasa na kuna baadhi ya watu walikamatwa mwisho wa siku tukamzika Magufuli, Mpaka leo serikali imekaa kimya awakuomba radhi

Samia YUKO wapi, hii ndioView attachment 3148632 hoja ijibiwe
Sijaona hayo Matusi ya Wahuni 🐼
 
Back
Top Bottom