Rais Samia yuko wapi kwa sasa?

Rais Samia yuko wapi kwa sasa?

Bila shaka ni wazima wa afya njema?!


Napenda kujua kwa sasa alipo Saisi mama Samia, yupo cuba bado au amerudi Tanzania?

Kikatiba nina haki kujua Rais alipo. Mnao juu taarifa tafadhali tuambieni.

Mungu ibariki Tanzania.

By mwinjilist wenu Gabeji
Tuwekee kwanza hicho kifungu cha katiba kinachokuruhusu kujua wapi rais yupo.
 
IMG_4239.jpeg
 
Bila shaka ni wazima wa afya njema?!


Napenda kujua kwa sasa alipo Saisi mama Samia, yupo cuba bado au amerudi Tanzania?

Kikatiba nina haki kujua Rais alipo. Mnao juu taarifa tafadhali tuambieni.

Mungu ibariki Tanzania.

By mwinjilist wenu Gabeji
Kuna kitu sijaelewa

--- Kila ukipita kwenye post za watu ( hata mimi nimeuliza ) wanaouliza kuhusu Samia yuko wapi, unakutana na Team ya Waziri Rajabu inatoa matusi ya nguoni kwa wanaouliza Rais wa Nchi Yuko wapi

--- Kwa kipi rahisi? Kuajili Team kutukana watu mtandaoni au Samia kujitokeza tu na kupoza hii hali ambayo imeendelea kwa wiki mbili sasa?

-- Watu wanahoji sababu wanajua sheria za nchi zinasemaje, Lakini pia haiwezekana Rais wa Nchi akaondoka na kwenda nchi kama Marekani kisha akapotea tu kama upepo na kusiwe na Mswali

-- Kwa nini Gharama kubwa inatumika kutuma watu kutukana badala ya kuja na HOJA

Hii inaacha maswali makubwa zaidi, sababu haiwezekana serikali ikatumia gharama kubwa kulipa wahuni badala badala ya ku address suala muhimu la Samia yuko wapi

Mwisho serikali inatakiwa kujifunza wakati wa Magufuli alipopotea serikali ilikuja kwa namna inavyokuja sasa na kuna baadhi ya watu walikamatwa mwisho wa siku tukamzika Magufuli, Mpaka leo serikali imekaa kimya awakuomba radhi

Samia YUKO wapi, hii ndio
IMG-20241110-WA0011(1).jpg
hoja ijibiwe
 
Personal Assistant wake Lucas Mwashambwa anajua aliko...

Si ajabu taarifa zikaibukia Zahanati ya Mzena maana kuna watu wameshaanza kuiuliza uliza katiba kuwa, Rais akiwa mwanamke mwislamu, tutaruhusiwa kuuaga mwili wake...?

Swali hilo☝🏻 mimi lilinishitua sana na kuniamsha usingizini...
Duuu hii ni hatari sana ,
 
Bila shaka ni wazima wa afya njema?!


Napenda kujua kwa sasa alipo Saisi mama Samia, yupo cuba bado au amerudi Tanzania?

Kikatiba nina haki kujua Rais alipo. Mnao juu taarifa tafadhali tuambieni.

Mungu ibariki Tanzania.

By mwinjilist wenu Gabeji

Juzi tu alikua CUBA.

Atarudi akimaliza ziara yake.
Ila Waziri Mchangarawe amelitupukiza Taifa kwenye chuki kubwa sana.

Waziri Mchangarawe ni adui wa haki Duniani kote kama alivyo shetani.

Kila dua anapaswa kutajwa na kulaaniwa sambamba na sheitwani.
 
Back
Top Bottom