Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 21,854
- 27,025
Mimi pia sijamwona muda mrefu Mbowe na mnyika.Sijamwona muda mrefu KASIMU MAJALIWA
Mimi pia sijamwona muda mrefu Mbowe na mnyika.Sijamwona muda mrefu KASIMU MAJALIWA
Hy n baada ya yeye mwenyewe kusema, kwahy kwa huyo mwngn tumsubir yeye mwenyewe mpaka asemeMbona illishia vizuri, tulijua kuwa anaumwa na yeye mwenyewe akakiri.
Mkuu 'Bush', ngoja nikupe kitu cha kukufikirisha kidogoi, halafu utaamua mwenyewe utakacho kuwa umejifunza kutokana na hali ilivyo.Hii habari kama haijasemwa na Lucas Mwashambwa siwezi kuiamini.
Yuko yukoBila shaka ni wazima wa afya njema?!
Napenda kujua kwa sasa alipo Saisi mama Samia, yupo cuba bado au amerudi Tanzania?
Kikatiba nina haki kujua Rais alipo. Mnao juu taarifa tafadhali tuambieni.
Mungu ibariki Tanzania.
By mwinjilist wenu Gabeji
AmeenAMEN.
Na yoyote amtakiae mabaya, mabaya hayo yampate kwanza mamaake mzazi kama hana mama mzazi basi yoyote ampendae zaidi.
AAMIIN.
Acha uongo wakristo wepi?Yaani wakristo wanafurahia uzushi kweli, hata sijui kwanini,
Hivi kwanini wakristo mnafurahia huu uzushi? Au kwa kuwa SAMIA ni muislamu?
Ila ninyi watu,kunani,mbona nyuzi za kuashiria jambo baya zimekuwa nyingi tangu jana?.Jamani tujuzane,tuanze kuandaa nyimbo!
Hao waulizwe makada wa chademaMimi pia sijamwona muda mrefu Mbowe na mnyika.
Mi nataka kujua kifungu cha katiba kinachokupa haki ya kujua alipo rais baas!Sema tu na ww hajui yuko wapi
Itakua jambo jema sana kama Mungu kaamua ugomvi
Watanzania mnapenda uchimvi, tusifike huko tupendane.Bila shaka ni wazima wa afya njema?!
Napenda kujua kwa sasa alipo Saisi mama Samia, yupo cuba bado au amerudi Tanzania?
Kikatiba nina haki kujua Rais alipo. Mnao juu taarifa tafadhali tuambieni.
Mungu ibariki Tanzania.
By mwinjilist wenu Gabeji