Rais Samia yuko wapi kwa sasa?

Rais Samia yuko wapi kwa sasa?

Sasa kwanini wakirisito mnafurahi na kutamani afikwe na majanga?
Huo sasa ndio unafiki na uzandiki
Wewe jamaa, kagua comments zangu juu ya jambo hili kama umeona nashibikia tetesi hizi. Ni bora ukajiepusha na udini ulioanza kuutamka mwenyewe. Waasisi wa Taifa letu wangetuongoza kwa akili kama zako tungechinjana balaa. Hoja ya msingi umeiacha kabisa umedandia dini. Msimzushie Kiongozi wa nchi mabalaa, kama sheria inaruhusu mshughulikiwe ipasavyo.
 
Kizimkazi yuko wapi?
 
Attachments

  • IMG-20241110-WA0593.jpg
    IMG-20241110-WA0593.jpg
    102.7 KB · Views: 6
Wewe jamaa, kagua comments zangu juu ya jambo hili kama umeona nashibikia tetesi hizi. Ni bora ukajiepusha na udini ulioanza kuutamka mwenyewe. Waasisi wa Taifa letu wangetuongoza kwa akili kama zako tungechinjana balaa. Hoja ya msingi umeiacha kabisa umedandia dini. Msimzushie Kiongozi wa nchi mabalaa, kama sheria inaruhusu mshughulikiwe ipasavyo.
Nimezungumzia wakristo, inawezekana wewe haumo ila wakristo wengi wamo

So hongera kwa kuwa mwadilifu
Endelea na moyo huo
 
Haya mambo sijui kwa nin wanayaruhusu kutokea. Ulimi huumba na kutokea. Tujitahidi sana kudhibiti.
 
Bila shaka ni wazima wa afya njema?!

Napenda kujua kwa sasa alipo Saisi mama Samia, yupo cuba bado au amerudi Tanzania?

Kikatiba nina haki kujua Rais alipo. Mnao juu taarifa tafadhali tuambieni.

Mungu ibariki Tanzania.

By mwinjilist wenu Gabeji
Ebu nukuu kifungu cha Katiba kinachokupa haki ya kujua Rais yuko wapi. Ukikiweka hapa, mimi Mtoto wa Shule nitajiondoa JF na sitakuwa member tena!
 
Je Unafikiri hiyo itatenda haki. ?!
Je haitaonekana kama udhalimu. ?!
Je haitakuwa ni chukizo machoni pa Mwenyezi Mungu. ?’
Kwani hamjajifunza tu ?
Maana kuna jamaa aliwahi kufanya hivyo na je Mungu akaingiliaje ??
Je yuko wapi sasa ??
Mkuu angalia emoji zangu za kucheka, siko serious na nilichoandika nafanya DHIHAKA tu,
 
Mwenye kujua ile website ya ku tracking flights atuweke hapa na number ya usajili ya ndege aliyotumia , tuwe tuna fanya pinging
 
Sasa kwanini wakirisito mnafurahi na kutamani afikwe na majanga?
Huo sasa ndio unafiki na uzandiki
Mkuu umekazana sana na udini hivi hujiskii kukosa amani kwa maneno yako?.Au kuna wakristo waliowahi kukuumiza sana ktk maisha yako kwa kigezo cha imani yao!?
 
Back
Top Bottom